Aitel-Vodafone???

Aitel-Vodafone???

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
5,551
Reaction score
2,153
Wadau kuna tetesi kuwa kuna muunganiko wa makampuni haya... Mwenye data please...
airtel_logo.gif
 
Wadau kuna tetesi kuwa kuna muunganiko wa makampuni haya... Mwenye data please...
View attachment 32067
Ni kwamba, haya makampuni yame-outsource network department kwa NOKIA SIEMENS NETWORKS (NSN), sasa NSN wao wameamua kuwapa contractors mbalimbali towers zote kwa maintenance............ i.e contractor mmoja wa NSN anafanya maintenance kwenye towers za VODA na Airtel. Kwa hiyo muunganiko ninaouona mimi ni ulke uliofanywa na NSN na wala si VODA NA AIRTEL. By the way VODA na AIRTEL DO NOT CARE WHO THE HELL IS DOING MAINTENANCE TO THEIR TOWERS, ALL THEY CARE IS NETWORK AVAILABILITY OF ABOVE 99.98%
 
Back
Top Bottom