Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante mkuu.,Nasikia yamenunuliwa na simba sports club
Ni kwamba, haya makampuni yame-outsource network department kwa NOKIA SIEMENS NETWORKS (NSN), sasa NSN wao wameamua kuwapa contractors mbalimbali towers zote kwa maintenance............ i.e contractor mmoja wa NSN anafanya maintenance kwenye towers za VODA na Airtel. Kwa hiyo muunganiko ninaouona mimi ni ulke uliofanywa na NSN na wala si VODA NA AIRTEL. By the way VODA na AIRTEL DO NOT CARE WHO THE HELL IS DOING MAINTENANCE TO THEIR TOWERS, ALL THEY CARE IS NETWORK AVAILABILITY OF ABOVE 99.98%Wadau kuna tetesi kuwa kuna muunganiko wa makampuni haya... Mwenye data please...
View attachment 32067