shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,329
Diamond platnum label, wasafi classic imemtoa dogo harmonize na aiyola yake..
mtu mzima diamond anazidi barikiwa tu kwa kunyanyua madogo kama hawa..
mtaa wa pili upo kwenye game miaka kibao sijui umeshamsaidia nani? na label yake inaitwaje??
jiwe limerushwa gizani hilo ukisikia yalaaa ujue limempata mtu
No offence...
Ila nineona kipaji cha yule dogo bado kidogo sana
Kitaa bado kuna watu wanajua sana hawajapata chance kama hizo
Kidogo upande upi?
Kama ni vipaji ndio uwanamuziki na usanii basi wanaotoka BSS pamoja na Tasker project fame wangekuwa wanafanya vizuri sana kwenye hii tasnia.
Mi nadhani cha muhimu, mtu awe na uwezo wa kuimba, awe anauzika kama brand (muonekano wa kistar) na vingine ni vidogovidogo labda uwezo wa kutunga nyimbo vizuri (maana kuna wasanii wengi wanatungiwa kama siachani nawe na nivumilie za barakah na basi nenda ya mo music zote zimetungwa na lolipop)
Ubunifu, kujituma, kujitambua na kulitendea haki soko kutokana na upepo wa biashara kimuziki ndio vitu vya muhimu, na Harmonize ninamuona kabisa yupo mulemule...!!
atafika mbali akifata njia ya mond
Binafsi namuona wa kawaida, sema amebahatika kuwa chini ya mtu ambaye yuko successful kwenye industry so njia ya kutoboa kwake ni nyepesi, Aiyola ni wimbo mzuri wa kawaida, labda akitoa mbili tatu naweza kukubali uwezo wake maana hata Diamond nilichelewa sana kumkubali
Dah umetisha mkuu yaani ulichelewa kuielewa "Kamwambie"?
tena hadi ile ya ndumba za kinaija atatoboa sana
Aiyola ni bora kuliko ile ya wanaogharamia
Huyu dogo tumpe muda atafanya poa tu na yuko vizuri.
No offence...
Ila nineona kipaji cha yule dogo bado kidogo sana
Kitaa bado kuna watu wanajua sana hawajapata chance kama hizo