Aiyola - Harmonize, Kipaji kipya

Aiyola - Harmonize, Kipaji kipya

shaurimbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
1,915
Reaction score
2,329
Diamond platnum label, wasafi classic imemtoa dogo harmonize na aiyola yake.

Mtu mzima diamond anazidi barikiwa tu kwa kunyanyua madogo kama hawa..

Mtaa wa pili upo kwenye game miaka kibao sijui umeshamsaidia nani? na label yake inaitwaje??

Jiwe limerushwa gizani hilo ukisikia yalaaa ujue limempata mtu.
 
Dogo kapitia magumu mengi sana, ndio maana hata ukimcheki hadi leo hii kama haamini flani hivii kama ameshatoboa..

Kizuri zaidi, kuwa chini ya diamond amefanikiwa kushare mashabiki na diamond kitu ambacho kimemboost sana..

Akija kufikisha nyimbo tatu hivii, atakuwa ameiva!!
 
Diamond platnum label, wasafi classic imemtoa dogo harmonize na aiyola yake..

mtu mzima diamond anazidi barikiwa tu kwa kunyanyua madogo kama hawa..

mtaa wa pili upo kwenye game miaka kibao sijui umeshamsaidia nani? na label yake inaitwaje??

jiwe limerushwa gizani hilo ukisikia yalaaa ujue limempata mtu

No offence...

Ila nineona kipaji cha yule dogo bado kidogo sana

Kitaa bado kuna watu wanajua sana hawajapata chance kama hizo
 
No offence...

Ila nineona kipaji cha yule dogo bado kidogo sana

Kitaa bado kuna watu wanajua sana hawajapata chance kama hizo

Kidogo upande upi?

Kama ni vipaji ndio uwanamuziki na usanii basi wanaotoka BSS pamoja na Tasker project fame wangekuwa wanafanya vizuri sana kwenye hii tasnia.

Mi nadhani cha muhimu, mtu awe na uwezo wa kuimba, awe anauzika kama brand (muonekano wa kistar) na vingine ni vidogovidogo labda uwezo wa kutunga nyimbo vizuri (maana kuna wasanii wengi wanatungiwa kama siachani nawe na nivumilie za barakah na basi nenda ya mo music zote zimetungwa na lolipop)

Ubunifu, kujituma, kujitambua na kulitendea haki soko kutokana na upepo wa biashara kimuziki ndio vitu vya muhimu, na Harmonize ninamuona kabisa yupo mulemule...!!
 
Mkuu nahisi hujanielewa

Mimi kwangu kukubali kwamba mtu anakipaji kweli ni pale napomuona anapita na kufanya kama yeye kwenye utenzi wake fani yake na maudhui

Huyo dogo anafanya kama fulani na watu wameshajijengea concept kwamba atakua kama flani na brand hazitengenezwi hivyo man
 
Ila dogo yuko vzuri sana ngoja tuone kama lebel y wasafi itazingatia vitu hvyo kwa dogo lkn pia hat a yy mwenyew harmonize kujituma zaid
 
Huyu dogo tumpe muda atafanya poa tu na yuko vizuri.
 
Aiyola ni bora kuliko ile ya wanaogharamia
 
hakuna kitu maalumu kumhusu maana hata nilipoiangalia video yake ni kama nilikuwa nikimtazama platnumz ndani yake...atengeneze njia yake itakayomtambulisha kama yeye hata kama yupo chini ya usimamizi wa platnumz.aige mfano wa barakah yaan kaja kipekee na watu wakamuelewa
 
Binafsi namuona wa kawaida, sema amebahatika kuwa chini ya mtu ambaye yuko successful kwenye industry so njia ya kutoboa kwake ni nyepesi, Aiyola ni wimbo mzuri wa kawaida, labda akitoa mbili tatu naweza kukubali uwezo wake maana hata Diamond nilichelewa sana kumkubali
 
Dah umetisha mkuu yaani ulichelewa kuielewa "Kamwambie"?
 
Huyu dogo tumpe muda atafanya poa tu na yuko vizuri.

Kasikilize interview ya millard syo na huyu dogo.. Dogo ka hustle sana. Anajua kujieleza sio kama shilole unamuuliza hili anakwambia lile.. Atafika mbali for sure
 
No offence...

Ila nineona kipaji cha yule dogo bado kidogo sana

Kitaa bado kuna watu wanajua sana hawajapata chance kama hizo

Kipaji sio kila kitu mkuu katika maisha ya Leo , wajanja wajanja ndio wanaotusua
 
Nita mjudge nikisikia wimbo wake wa pili!
 
Back
Top Bottom