Ajabu kinachoendelea chuo kikuu huria Tanzania

MWIGOLA

Senior Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
173
Reaction score
52
Ukifuatilia tovuti ya chuo kikuu huria cha tanzania utaona kuna jambo la ajabu linaloendelea kwa mpaka sasa kutoonekana majina ya wanachuo watakatunukiwa shahada za udhamili na uzamivu wakati mahafali ni kesho tarehe 27 oktoba 2012. Kwa kawaida kama walivyofanya kwa wanafunzi wa shahada ya kwanza majina yao yalishawekwa kwenye mtandao. Chuo katika matangazo yake kiliahidi kufanya hivyo mapema lakini hakijaweka majina hayo.
 
Kwani kuna ajabu gani hapa..! Majina kama hayapo kwenye tovuti yao ulizia kwenye Regional center yako utayapata huko, yamehifadhiwa kwenye hardcopy.
 

Jibu lake ni rahisi sana kwa maana kuwa katika shahada hiyo hakuna wa kumaliza,hahahaaaaaaaaaaaa
 
Nagembo fahamu kuwa hard copy inaanzia kwenye soft copy
 

Ni kwa vipi/kiasi gani hili tatizo limekuathiri wewe???
 
Shahada ya 'udhamili' ndo nini? Kithembe hadi ktk maandishi?
 
hiyo ni list ya undergraduate, mimi naongelea postgraduate(master and phd)
 
hakuna kilichomuathiri mtu isipokuwa hii ni habari, si kawaida kwa chuo kikuu kufanya hivyo.haimuathiri mtu kwa kuwa graduands wote wameshalipia majoho, wako kunakohusika, na sherehe na shamrashamra zinaendelea kuandaliwa. Sisi raia tunategemea kupata taarifa kwenye website yao. taarifa hiyo haitolewi kwa graduands tu, bali na wengine kufahamu.
Ni kwa vipi/kiasi gani hili tatizo limekuathiri wewe???
 
MWIGOLA...pole lakini wanafunzi wote wameshatangaziwa bila clearance i.e. kuthibitisha kua umeshamaliza fees huwezi kupewa Joho (gown)na kama haya yote umefanya...you don't need a list of graduands. Kwa maana nyingine ukishapewa joho ndo ticket ya kugraduate. Those are mere trivio irregularities and they are curable...!
 
Hard copy ya kuandika kwa mkono sawa. lakini sidhani kama hard copy yako wewe uliyokuwa unazungumzia ni ya kuandika kwa mkono. siku hizi huwezi ukakuta official list iko kwa maandishi yasiyochapwa.
Hapana soft copy inaanza kwenye hardcopy
 

Watafute wenzako basi kama 50 hivi waliokasirishwa na kutopewa hii taarifa alaf muandamane..
 
Hard copy ya kuandika kwa mkono sawa. lakini sidhani kama hard copy yako wewe uliyokuwa unazungumzia ni ya kuandika kwa mkono. siku hizi huwezi ukakuta official list iko kwa maandishi yasiyochapwa.

Yes nilikuwa na maana ya kuandika kwa mkono
 
kama kesho graduation leo ni siku ya zoezi la kujipanga na kuitwa majina alphabetically kama bado utatunikiwa cheti kama Usiyekuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…