Ukifuatilia tovuti ya chuo kikuu huria cha tanzania utaona kuna jambo la ajabu linaloendelea kwa mpaka sasa kutoonekana majina ya wanachuo watakatunukiwa shahada za udhamili na uzamivu wakati mahafali ni kesho tarehe 27 oktoba 2012. Kwa kawaida kama walivyofanya kwa wanafunzi wa shahada ya kwanza majina yao yalishawekwa kwenye mtandao. Chuo katika matangazo yake kiliahidi kufanya hivyo mapema lakini hakijaweka majina hayo.