Ajabu: Mbunge Florent Kyombo (CCM), adai Kagera inapakana na Sudan Kusini

Ajabu: Mbunge Florent Kyombo (CCM), adai Kagera inapakana na Sudan Kusini

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Salaam wakuu,

Mbunge wa Nkenge, Misenyi, Mkoani Kagera adai Nchi ya Sudan kusini inapakana na Mkoa wa Kagera wakati akichangia bajeti ya mambo ya ndani leo.

Amedai Kagera imepatikana na nchi Tano, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC pamoja na nchi zingine na Sudani Kusini.

Tanzania ina matapeli wengi sana,wamejazana hadi kwenye siasa.Jamaa kapendeza kama msomi,kavaa na miwani kabisa lkn anasema mkoa wa kagera umepakana na sudani kusini.Huyu ndiyo unamtegemea akutungie sheria.

Wagombea kabla ya kupitishwa na chama chao,wawe wanapewa mtihani hata wa maswali basic tu kuwapima uelewa.Hawa ndiyo wanachangia kushusha hazi ya Bunge
 
Ubunge ni kujua kusoma na kuandika tu

Afadhali wanaosemaga std seven kuna wengine hata hiyo hawaijui
 
Inawezekana alikuwa ana maanisha Mkoa wa Kagera una mwingiliano wa raia kutoka nchi hizo alizozitaja.. Uganda, Kongo DRC, Rwanda, Sudan Kusini nk.

Ila siwezi kumsemea maana hawa wanasiasa wana maajabu yao aisee!!
 
Mbunge hajui hata ramani ya East Africa bunge bila upinzan ni utopolo tu wanaongea yaliyokuja kichwani
 
Back
Top Bottom