Ajabu: Mbunge Florent Kyombo (CCM), adai Kagera inapakana na Sudan Kusini

Anaweza kuwa amekosea kama ilivyo tabia ya binadamu kusahau...lakini zaidi ni kwamba Frolenti Kyombo ni mtu makini sana na anajielew na nina uhakika anaijua vizuri sana ramani na mipaka ya mkoa wa Kagera...hivyo tusimhukumu sana kwa hili.....
 
Mimi CCM Hakuna mtu makini hapo bure huyo mbunge stupid tu
 
Haya kama ingekuwa ni kweli...anataka tumsaidieje?
 
[emoji23][emoji23]Mitano tena
 
CCM ni sumaku ya Wajinga hiwa inawanasa wajinga kutoka kwenye Vyama vingine
 
Frolent Kyombo ni msomi mbobezi nadhani hakueleweka
Japo siipendi CCM lkn kwa hilo simhukumu
 
Inawezekana alikuwa ana maanisha Mkoa wa Kagera una mwingiliano wa raia kutoka nchi hizo alizozitaja.. Uganda, Kongo DRC, Rwanda, Sudan Kusini nk.

Ila siwezi kumsemea maana hawa wanasiasa wana maajabu yao aisee!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Pamoja na yote ila nadhani mnasaau kuwa watu wa Kagera ni shida, hawa ni watanzania wa ajabu sana hata pale alikuwa anatamani kusema Kagera inapakana na Misri na hata Morocco na Etiopia.

Kama ukifanikiwa kuingia nyumbani kwa muhaya utazimia maana Certifikate na majoho ya Graduation yanaweka kuanzia barazani mpaka ndani nilikuja kuzima sigara nilipoingia nyumba moja na kukuta amebandika mpaka test za darasani na quzi.
 
Anaweza kuwa amekosea kama ilivyo tabia ya binadamu kusahau...lakini zaidi ni kwamba Frolenti Kyombo ni mtu makini sana na anajielew na nina uhakika anaijua vizuri sana ramani na mipaka ya mkoa wa Kagera...hivyo tusimhukumu sana kwa hili.....
Ata nchi za North Africa zinapakana na ulaya lakini hazishei mipaka na ulaya
 
Hata hiyo Congo wanapakana nayo wapi?....Kagera ina mipaka na Uganda, Rwanda na Burundi......Congo ni Chigoma.
 
Muhimu ni anajua kusoma na kuandika...[emoji3]

Mwingine alituaibisha ugenini, Tz ni muungano wa Tanzania na Zimbabwe...
 
Another kituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…