MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,679
- 1,612
Unaweza kutupatia source ya hii finding?
Ni ajabu kwa nini??Ni ajabu ila kweli kuwa mshahara Mbunge Kenya ni 14m Tshs kwa mwezi!
Uingereza ni gold standard ya nchi zingine au?!Hii iko hata juu ya malipo ya wabunge Uingereza!
Hii inawasaidia kupunguza ufisadi. Ndio maana wanazidi kuendelea.Je mnasemaje JF wakati wandugu kibao Kenya wanakufa njaa kwa kukosa chakula?
Ni ajabu ila kweli kuwa mshahara Mbunge Kenya ni 14m Tshs kwa mwezi!
Hii iko hata juu ya malipo ya wabunge Uingereza!
Je mnasemaje JF wakati wandugu kibao Kenya wanakufa njaa kwa kukosa chakula?
Mwalimu Primary Kenya hupata tu laki 2 (200,000 Tshs).
Jamani Jf mnasemaj tofauti hii kubwa hivi kwa wanasiasa?
Nini mchango wa wabunge ktk jamii?? Kupiga domo?
Kumbuka uchaguzi ndo ulileteleza mauaji wa 1500 citizens!
Je tunawahitaji wabunge ili iweje????
This is a fact not an opininion!
Je huamini?
Uliza mtu mtu yoyote toka Kenya!
Mbunge hulipwa 800,0000 Kshs wakati huu wa Kibaki!
Sasa unataka ushaidi gani zaidi???
Source: Treasury Kenya!
Hii inawasaidia kupunguza ufisadi. Ndio maana wanazidi kuendelea.
Habari zilidai kuwa Zitto alimshutumu Cheyo kwa kumfukuza dereva wake kwa kosa la kudai malimbikizo ya mishahara na posho zake, jambo ambalo halikumfurahisha Cheyo, ambaye aliamua kujibu mapigo kwa kumtaka Zitto kutoingilia mambo yasiyomhusu.
sourec; Zitto amkoromea Cheyo
Kwenye nchi za wenzetu zilizoendelea siasa kwa kiasi kubwa ni kutumikia watu ......kwa maana kuwa kwa walio wengi hukiingia kwenye siasa mapato yanapungua ila kwetu Afrika siasa ndio njia ya kutokea....iwe kwa mtu binafsi, familia yake au ndugu na jamaa wote jicho litakuwa kwako mwanasiasa.
Ndio maana tunashuhudia watu wanauana, wanachafuana na kufanyiana kila namna ya visa kwa ajili siasa.