Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Yaani kuna mambo yanakera sana hii dunia ama hakika ukiwa mfuuatiaji wa kila kitu utaishia kuumwa ugonjwa wa ulcer tu yaani kuna vitu vinakera kweli kwenye hii dunia kwakweli
Nikuambie kitu jana maeneo x kuna padri wa kanisa x maarufu hapa nchini amefumwa gest x akiwa na mke wa mtu akila uroda bahati mbaya au mzuri alichoropoka na akakimbilia polisi kwahiyo jana ameenda kwao akiwa na escort ya polisi akihofia kupigwa na watu wenye hasira kali na mke watu
Sasa nikuambie cha kushangaza leo yeye ndio ameongoza Misa na watu wamekukula kitabio na wamelishwa mkate na padri yule yule yaani haya mambo yanachekesha na kuhuzunisha sana! Leo ndio mwanzo na mwisho kukanyaga kanisani
"Kwanzia leo nimezira kukanyaga kanisani na ama hakika kweli dini ya kiislamu ndiyo dini ya haki wangekuwa waislamu yule kiongozi wa dini angefukuzwa asisalishe! Inakera