Labda kaungama jana usiku. 😂
Kujua sheria ni moja, kutekeleza inahitaji imani ya hali ya juu, simlaumu saana huyu padri.
Mtume(s.a.w) aliita mpambano baina ya mtu na nafsi yake ni jihadi kubwa... Yaani ile ya kupigana na mapanga ni ndogo, ila hii ya nafsi ni kubwa.
Ndio maana unakuta mtu anajua sheria lakini yupo radhi aipindishe aidha kwa sababu za kimwili au kiuchumi.... Padri kukamatwa ugoni, ostadh kubaka na mengine mengi si ajabu, ingawa waumini wa dini tofauti huwa wanageuza dhihaka kwa wengine...