Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Sasa hapo ndio pagumu, yaan watumishi wa Mungu alafu ni wanadamu km wewe, nilipoona nyumbani kwa Mapdrii kuna self service fridges zilizojaa mivinyo na bia kibao hususani Safari na Kilimanjaro, nilipunguza kwenda Churchni watumishi wa Mungu na ni wanadamu kama ulivyo wewe
Mjomba unangoja nini kuslimu?Yaani kuna mambo yanakera sana hii dunia ama hakika ukiwa mfuuatiaji wa kila kitu utaishia kuumwa ugonjwa wa ulcer tu yaani kuna vitu vinakera kweli kwenye hii dunia kwakweli
Nikuambie kitu jana maeneo x kuna padri wa kanisa x maarufu hapa nchini amefumwa gest x akiwa na mke wa mtu akila uroda bahati mbaya au mzuri alichoropoka na akakimbilia polisi kwahiyo jana ameenda kwao akiwa na escort ya polisi akihofia kupigwa na watu wenye hasira kali na mke watu
Sasa nikuambie cha kushangaza leo yeye ndio ameongoza Misa na watu wamekukula kitabio na wamelishwa mkate na padri yule yule yaani haya mambo yanachekesha na kuhuzunisha sana! Leo ndio mwanzo na mwisho kukanyaga kanisani
"Kwanzia leo nimezira kukanyaga kanisani na ama hakika kweli dini ya kiislamu ndiyo dini ya haki wangekuwa waislamu yule kiongozi wa dini angefukuzwa asisalishe! Inakera
Unaenda kumwabudu padre ama unamwabudu MunguYaani kuna mambo yanakera sana hii dunia ama hakika ukiwa mfuuatiaji wa kila kitu utaishia kuumwa ugonjwa wa ulcer tu yaani kuna vitu vinakera kweli kwenye hii dunia kwakweli
Nikuambie kitu jana maeneo x kuna padri wa kanisa x maarufu hapa nchini amefumwa gest x akiwa na mke wa mtu akila uroda bahati mbaya au mzuri alichoropoka na akakimbilia polisi kwahiyo jana ameenda kwao akiwa na escort ya polisi akihofia kupigwa na watu wenye hasira kali na mke watu
Sasa nikuambie cha kushangaza leo yeye ndio ameongoza Misa na watu wamekukula kitabio na wamelishwa mkate na padri yule yule yaani haya mambo yanachekesha na kuhuzunisha sana! Leo ndio mwanzo na mwisho kukanyaga kanisani
"Kwanzia leo nimezira kukanyaga kanisani na ama hakika kweli dini ya kiislamu ndiyo dini ya haki wangekuwa waislamu yule kiongozi wa dini angefukuzwa asisalishe! Inakera
Mjomba unangoja nini kuslimu?
Nadhani huku ni sehemu salama ya kufunguka kwa lolote pasina kuogopa au kuhofia kujulikana.Yaani kuna mambo yanakera sana hii dunia ama hakika ukiwa mfuuatiaji wa kila kitu utaishia kuumwa ugonjwa wa ulcer tu yaani kuna vitu vinakera kweli kwenye hii dunia kwakweli
Nikuambie kitu jana maeneo x kuna padri wa kanisa x maarufu hapa nchini amefumwa gest x akiwa na mke wa mtu akila uroda bahati mbaya au mzuri alichoropoka na akakimbilia polisi kwahiyo jana ameenda kwao akiwa na escort ya polisi akihofia kupigwa na watu wenye hasira kali na mke watu
Sasa nikuambie cha kushangaza leo yeye ndio ameongoza Misa na watu wamekukula kitabio na wamelishwa mkate na padri yule yule yaani haya mambo yanachekesha na kuhuzunisha sana! Leo ndio mwanzo na mwisho kukanyaga kanisani
"Kwanzia leo nimezira kukanyaga kanisani na ama hakika kweli dini ya kiislamu ndiyo dini ya haki wangekuwa waislamu yule
Sasa wewe una fake id, unakuja na taarifa umeweka x sasa unatoa taarifa au udaku? Nani afungue hizo code?Yaani kuna mambo yanakera sana hii dunia ama hakika ukiwa mfuuatiaji wa kila kitu utaishia kuumwa ugonjwa wa ulcer tu yaani kuna vitu vinakera kweli kwenye hii dunia kwakweli
Nikuambie kitu jana maeneo x kuna padri wa kanisa x maarufu hapa nchini amefumwa gest x akiwa na mke wa mtu akila uroda bahati mbaya au mzuri alichoropoka na akakimbilia polisi kwahiyo jana ameenda kwao akiwa na escort ya polisi akihofia kupigwa na watu wenye hasira kali na mke watu
Sasa nikuambie cha kushangaza leo yeye ndio ameongoza Misa na watu wamekukula kitabio na wamelishwa mkate na padri yule yule yaani haya mambo yanachekesha na kuhuzunisha sana! Leo ndio mwanzo na mwisho kukanyaga kanisani
"Kwanzia leo nimezira kukanyaga kanisani na ama hakika kweli dini ya kiislamu ndiyo dini ya haki wangekuwa waislamu yule kiongozi wa dini angefukuzwa asisalishe! Inakera
Hata kama sitafika ila vijana wapo watafika ovaUtafanya nini sasa ni huko Kilimanjaro utafika?
Wasogezee mbogaHata kama sitafika ila vijana wapo watafika ova