Nenda Aljazeera au hata BBC katafute taarifa za ubalozi wa USA Riyadh Saudi Arabia ukilipuliwa.Hizo taarifa zako kiboko. Ubalozi upi uliolipuliwa? Kama asingekuwa na kambi middle east unashani Iran ungekuwa inapibdwa na kuchomwa kila siku kama kibaka aliyekamatwa Manzese au Mwananyamala?
Kambi zote zipo functional
Balozi ya UAE,Balozi ya USA Iraq.
Hizo zote zimelipuliwa,shida yako hufuatilii taarifa unakuja kubishana UJINGA.
-USA mashambulizi wanatekeleza kupitia Iraq Kurdistan,Syria na Israel. Ndio maana inawalazimu watumie ndege za kujazia mafuta.
Nakushauri jadili ukiwa na taarifa kamili sio kwa kukurupuka.