Ajabu na kweli: Miaka 30 ya Mfumo wa vyama vingi nchini, Bungeni kuna Wabunge 19 wasio na chama

Ajabu na kweli: Miaka 30 ya Mfumo wa vyama vingi nchini, Bungeni kuna Wabunge 19 wasio na chama

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kuna wakati huwa namuelewa sana Rais Putin wa Russia

Haya mambo ya Demokrasia ni kudanganyana tu hayana uhalisia wowote

Ndio sababu nilimkubali sana yule Magufuli wa CCM mpya

Mungu wa mbinguni awabariki nyote
 
Hivi unajifanya hujui kuwa wale wabunge wa Covid 19 ni matokeo ya kazi za kipuuzi zaidi kuwahi kufanywa na yule Magufuli wa CCM mpya?
Walisema J J Mnyika ndiye alipeleka orodha ya majina 19 kwa Mahera.wa Nec
 
Kuna wakati huwa namuelewa sana Rais Putin wa Russia

Haya mambo ya Demokrasia ni kudanganyana tu hayana uhalisia wowote

Ndio sababu nilimkubali sana yule Magufuli wa CCM mpya

Mungu wa mbinguni awabariki nyote
matatizo yote ya nchi hii yanaletwa na CCM, wanavuruga kuanzia upatikanaji wa viongozi kupitia uchaguzi huru na haki, sera za hovyo, usimalizi hata wa hizo za hovyo upo hovyo.

Pole Tanzania.
 
Huna akili ujue wewe.. Huyo unayemkubali ndio huyo huyo aliyeleta hicho unachokishangaa
Akili anazo, iweje Chama kama ni madhubuti watokee wasaliti kiasi kile? Wabunge 19 maarufu ndani ya chama pinzani wakubali kutekwa akili na mtu mmoja? Chama kimeandaa viongozi kweli au kimeandaa wenye njaa na warahisi kurubunika?
 
70% wamesaidiwa na Jiwe !! afu mbaya zaidi washamgeuka bora hata hao 19 wao wameendelea na msimamo wao ule ule walioapizana na marehemu.
Hawajamgeuka ila wanajitahidi kula na vipofu.
 
Hivi unajifanya hujui kuwa wale wabunge wa Covid 19 ni matokeo ya kazi za kipuuzi zaidi kuwahi kufanywa na yule Magufuli wa CCM mpya?
Siyo kweli, hao 19 ni matokeo ya udhaifu wa wapinzani kwa kuwa ni rahisi wao kununulika ama kurubuniwa. Jengeni chama ambacho wanachana wataona uchungu saana kukisaliti.
 
Siyo kweli, hao 19 ni matokeo ya udhaifu wa wapinzani kwa kuwa ni rahisi wao kununulika ama kurubuniwa. Jengeni chama ambacho wanachana wataona uchungu saana kukisaliti.
nani anayewanunua? kwa sababu zipi ?
 
Kuna wakati huwa namuelewa sana Rais Putin wa Russia

Haya mambo ya Demokrasia ni kudanganyana tu hayana uhalisia wowote

Ndio sababu nilimkubali sana yule Magufuli wa CCM mpya

Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Uko sawa! Nahisi JPM aliwekwa kuonesha udhaifu wa vyama pinzani wanavyoweza kununulika na pia katiba ya nchi ama tume zisivyokuwa na meno na ndo maana ikachochea zaidi mapambano ya kudai hv vtu. Sema wanasiasa hawalioni hilo wao wanakalia udikteta n.k wangepatiwa viti kadhaa mf. Hai, Arusha mjini, mbeya mjini, tarime, n.k wangeona tume na katiba si vya kupambania.
 
nani anayewanunua? kwa sababu zipi ?
Mwenye kitoweo cha madaraka ni rahisi kuwanunua. Sababu labda umtag Halima atuambie kwa nini wapo bungeni wakati hawakuteuliwa na chama chao kama chama kinavyodai.
 
Back
Top Bottom