Ostrich eggs
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 638
- 453
Huo ndio ulikuwa ushawishi waAkili anazo, iweje Chama kama ni madhubuti watokee wasaliti kiasi kile? Wabunge 19 maarufu ndani ya chama pinzani wakubali kutekwa akili na mtu mmoja? Chama kimeandaa viongozi kweli au kimeandaa wenye njaa na warahisi kurubunika?
shetani, mungu wenu wa Burigi