johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Walisema J J Mnyika ndiye alipeleka orodha ya majina 19 kwa Mahera.wa NecHivi unajifanya hujui kuwa wale wabunge wa Covid 19 ni matokeo ya kazi za kipuuzi zaidi kuwahi kufanywa na yule Magufuli wa CCM mpya?
Walisema J J Mnyika ndiye alipeleka orodha ya majina 19 kwa Mahera.wa Nec
matatizo yote ya nchi hii yanaletwa na CCM, wanavuruga kuanzia upatikanaji wa viongozi kupitia uchaguzi huru na haki, sera za hovyo, usimalizi hata wa hizo za hovyo upo hovyo.Kuna wakati huwa namuelewa sana Rais Putin wa Russia
Haya mambo ya Demokrasia ni kudanganyana tu hayana uhalisia wowote
Ndio sababu nilimkubali sana yule Magufuli wa CCM mpya
Mungu wa mbinguni awabariki nyote
70% wamesaidiwa na Jiwe !! afu mbaya zaidi washamgeuka bora hata hao 19 wao wameendelea na msimamo wao ule ule walioapizana na marehemu.Hilo bunge nusu yao ni wabunge wa upinzani, siku au tuseme miaka si mingi ijayo itajidhihirisha.
Ulikuwa ni upepo tu.
Huo ndiyo urithi ulioachwa na lile jinamizi la kihutuKuna wakati huwa namuelewa sana Rais Putin wa Russia
Haya mambo ya Demokrasia ni kudanganyana tu hayana uhalisia wowote
Ndio sababu nilimkubali sana yule Magufuli wa CCM mpya
Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Sasa hivi linapambana na zile roho zisizo ha hatia lilizo zitanguliza kuzimu.Huo ndiyo urithi ulioachwa na lile jinamizi la kihutu
Huna akili ujue wewe.. Huyo unayemkubali ndio huyo huyo aliyeleta hicho unachokishangaaKuna wakati huwa namuelewa sana Rais Putin wa Russia
Haya mambo ya Demokrasia ni kudanganyana tu hayana uhalisia wowote
Ndio sababu nilimkubali sana yule Magufuli wa CCM mpya
Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Ni kweli.Hilo bunge nusu yao ni wabunge wa upinzani, siku au tuseme miaka si mingi ijayo itajidhihirisha.
Ulikuwa ni upepo tu.
Halafu mazuzu wanashangiliamatatizo yote ya nchi hii yanaletwa na CCM, wanavuruga kuanzia upatikanaji wa viongozi kupitia uchaguzi huru na haki, sera za hovyo, usimalizi hata wa hizo za hovyo upo hovyo.
Pole Tanzania.
Akili anazo, iweje Chama kama ni madhubuti watokee wasaliti kiasi kile? Wabunge 19 maarufu ndani ya chama pinzani wakubali kutekwa akili na mtu mmoja? Chama kimeandaa viongozi kweli au kimeandaa wenye njaa na warahisi kurubunika?Huna akili ujue wewe.. Huyo unayemkubali ndio huyo huyo aliyeleta hicho unachokishangaa
Hawajamgeuka ila wanajitahidi kula na vipofu.70% wamesaidiwa na Jiwe !! afu mbaya zaidi washamgeuka bora hata hao 19 wao wameendelea na msimamo wao ule ule walioapizana na marehemu.
Siyo kweli, hao 19 ni matokeo ya udhaifu wa wapinzani kwa kuwa ni rahisi wao kununulika ama kurubuniwa. Jengeni chama ambacho wanachana wataona uchungu saana kukisaliti.Hivi unajifanya hujui kuwa wale wabunge wa Covid 19 ni matokeo ya kazi za kipuuzi zaidi kuwahi kufanywa na yule Magufuli wa CCM mpya?
nani anayewanunua? kwa sababu zipi ?Siyo kweli, hao 19 ni matokeo ya udhaifu wa wapinzani kwa kuwa ni rahisi wao kununulika ama kurubuniwa. Jengeni chama ambacho wanachana wataona uchungu saana kukisaliti.
Uko sawa! Nahisi JPM aliwekwa kuonesha udhaifu wa vyama pinzani wanavyoweza kununulika na pia katiba ya nchi ama tume zisivyokuwa na meno na ndo maana ikachochea zaidi mapambano ya kudai hv vtu. Sema wanasiasa hawalioni hilo wao wanakalia udikteta n.k wangepatiwa viti kadhaa mf. Hai, Arusha mjini, mbeya mjini, tarime, n.k wangeona tume na katiba si vya kupambania.Kuna wakati huwa namuelewa sana Rais Putin wa Russia
Haya mambo ya Demokrasia ni kudanganyana tu hayana uhalisia wowote
Ndio sababu nilimkubali sana yule Magufuli wa CCM mpya
Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Mwenye kitoweo cha madaraka ni rahisi kuwanunua. Sababu labda umtag Halima atuambie kwa nini wapo bungeni wakati hawakuteuliwa na chama chao kama chama kinavyodai.nani anayewanunua? kwa sababu zipi ?