Ostrich eggs
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 638
- 453
Huo ndio ulikuwa ushawishi waAkili anazo, iweje Chama kama ni madhubuti watokee wasaliti kiasi kile? Wabunge 19 maarufu ndani ya chama pinzani wakubali kutekwa akili na mtu mmoja? Chama kimeandaa viongozi kweli au kimeandaa wenye njaa na warahisi kurubunika?
Uko sawa! Nahisi JPM aliwekwa kuonesha udhaifu wa vyama pinzani wanavyoweza kununulika na pia katiba ya nchi ama tume zisivyokuwa na meno na ndo maana ikachochea zaidi mapambano ya kudai hv vtu. Sema wanasiasa hawalioni hilo wao wanakalia udikteta n.k wangepatiwa viti kadhaa mf. Hai, Arusha mjini, mbeya mjini, tarime, n.k wangeona tume na katiba si vya kupambania.
Pointless! Kaliwe na fisi yai wewe.Huo ndio ulikuwa ushawishi wa
shetani, mungu wenu wa Burigi
Utaliwa wewe na fisi wenu wa kwenye lindo malaloni huko kwenu BurigiPointless! Kaliwe na fisi yai wewe.
AMENMagufuli hakuonyesha udhaifu wa vyama vya upinzani, bali alionyesha udhaifu wa katiba yetu. Kwa taarifa yako kama ni udhaif, basi ulionekana ndani ya CCM zaidi kuliko vyama vya upinzani. Vyama vya upinzani vilikuwa wahanga wa siasa za kihayawani za magufuli na sio udhaifu.
Hakuna utachofaidi ktk uongozi wwte hata km bibi yako alikutwa na vyeti fake huku anakarbia kustaafu.Utaliwa wewe fisi wenu wa kwenye lindo malaloni
Hao covid 19 si ni upunguani wa vyama vyenu vinavyojazia matumbo tu. Kelele zote hz za kutukana ni baada ya kunyang'anya tonge 2020.Magufuli hakuonyesha udhaifu wa vyama vya upinzani, bali alionyesha udhaifu wa katiba yetu. Kwa taarifa yako kama ni udhaif, basi ulionekana ndani ya CCM zaidi kuliko vyama vya upinzani. Vyama vya upinzani vilikuwa wahanga wa siasa za kihayawani za magufuli na sio udhaifu.
Hao covid 19 si ni upunguani wa vyama vyenu vinavyojazia matumbo tu. Kelele zote hz za kutukana ni baada ya kunyang'anya tonge 2020.
Kwa hyo vyama pinzani vilishiriki ktk uchafu huo ndo maana tunao 19 kutoka upande wa upinzani ambao wako radhi waburuzane mahakamani kuliko kukubali maamzi ya chama chao.Mwaka 2015 - 2018 demokrasia yetu ilishuka miaka zaidi ya 30 nyumba. Kipindi hiki nchi imepitia kwenye misukosuko mingi sana ya kisiasa na bado nchi ina makovu ambayo kuyatibu yatachukua muda mrefu. Kuna kikundi cha watu walichafua sana hali ya hewa.
Ndiyo maana unawaona hao 19 bungeni kama zao ama masalia ya uchafuzi wa hali ya hewa.
Mimi huwa sitegemei dezo wala mtu yeyote kama mlivyokuwa wewe na wenzio wa vyeti feki akina Makonda. Pole.Hakuna utachofaidi ktk uongozi wwte hata km bibi yako alikutwa na vyeti fake huku anakarbia kustaafu.
Vyama vyote ni wajaza matumbo tu ndo maana naona hakuna wapigania demokrasia kupitia vyama vyao bali ni wapambania matumbo tu.Nitajie chama chenye wanachama wasio wajazia tumbo ili tuone. Au unadhani kila aliyeenda kuunga juhudi alienda kwa ajili ya kujazia tumbo?
Huwez kukubali maana yalikupata mazito enzi za JPM. Ndo maana kifo chake kimekupa mdomo wa kuonesha viashiria vya jinsi ulivyopata tabu enzi zake.Mimi huwa sitegemei dezo wala mtu yeyote kama mlivyokuwa wewe na wenzio wa vyeti feki akina Makonda. Pole.
Na ndiye aliyewaweka wabunge 19 wasio na chama kama wanachama kivuli wa chademaKuna wakati huwa namuelewa sana Rais Putin wa Russia
Haya mambo ya Demokrasia ni kudanganyana tu hayana uhalisia wowote
Ndio sababu nilimkubali sana yule Magufuli wa CCM mpya
Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Vyama vyote ni wajaza matumbo tu ndo maana naona hakuna wapigania demokrasia kupitia vyama vyao bali ni wapambania matumbo tu.
Nani alisema kama siyo upuuzi wako,na wale waliotolewa mahabusu ni Mnyika aliyewatoa?Walisema J J Mnyika ndiye alipeleka orodha ya majina 19 kwa Mahera.wa Nec
Uko sawa! Nahisi JPM aliwekwa kuonesha udhaifu wa vyama pinzani wanavyoweza kununulika na pia katiba ya nchi ama tume zisivyokuwa na meno na ndo maana ikachochea zaidi mapambano ya kudai hv vtu. Sema wanasiasa hawalioni hilo wao wanakalia udikteta n.k wangepatiwa viti kadhaa mf. Hai, Arusha mjini, mbeya mjini, tarime, n.k wangeona tume na katiba si vya kupambania.
Nilizungumzia upinzani kwa kuwa mlilenga uhalifu ni wa watawala tu wakati wote ni walalahoi tuKwahiyo huyo JPM alikuwa mpigania tumbo aliyepata madaraka au? Mwanzo ulikuja with full confidence kuwa wapinzani ni wapigania tumbo, ila sasa huna cha kuwatetea hao wanaokupandisha mihemko, ndio umeishia kusema hakuna chama kisicho na wapigania tumbo.
Imesema Tume ya UchaguziNani alisema kama siyo upuuzi wako,na wale waliotolewa mahabusu ni Mnyika aliyewatoa?
Tume ya Mahera na mwendazakeImesema Tume ya Uchaguzi