Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
H.boy hatadum nae kama mama ni above 45 hapo anajichukulia hela tu baadae arudi kwa makamu yake
hapa mimi suali langu ni_kwani huyo mama ana hela?
Damn right sweetheart hapo kweli mama anajifaidia, dogo imekula kwakeSasa afanyeje na mumewe kamuacha, wanaume bwana, mnafikiri nyie tu ndio mnapenda dogodogo, mwacheni mama wa watu ajifaidie
Damn right sweetheart hapo kweli mama anajifaidia, dogo imekula kwake
H.boy hatadum nae kama mama ni above 45 hapo anajichukulia hela tu baadae arudi kwa makamu yake