Ajabu na kweli, ndoa imevunjika, mama aolewa na Houseboy

Ajabu na kweli, ndoa imevunjika, mama aolewa na Houseboy

H.boy hatadum nae kama mama ni above 45 hapo anajichukulia hela tu baadae arudi kwa makamu yake

amewekewa limbwata huyo atakuwa, wamama wa Dsm kwa uchawi huwawezi.
Yaani ummege bure, akupe hela, akulishe akuvishe kisha umuumize moyo!!!!wee mbona utaoteshwa bushwa la kwapa.
 
Wakiamka asbuhi au wakiwa hawajaonana salaam zinakuwaje? Hao watoto wa huyo mama waje tu kumsalimu mama yao na baba yao wa kambo.....
 
Sasa afanyeje na mumewe kamuacha, wanaume bwana, mnafikiri nyie tu ndio mnapenda dogodogo, mwacheni mama wa watu ajifaidie
Damn right sweetheart hapo kweli mama anajifaidia, dogo imekula kwake
 
Back
Top Bottom