Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Dr fikilia tenaKwani hao watano hawastahili kuishi? Kwamba wao ndiyo wanafaa kugongwa kwa sababu wana roho za chuma?
Huyo dereva namsifu. Hakuna kifo hata kimoja. Ila nina uhakika, angeigonga hiyo bajaji basi hao wapendwa watano wangekuwa marehemu.
Sifikrii.Dr fikilia tena
Hapo nimeelewa mkuu...Sifikrii.
Unachotaka ni kufikiri unavyotaka. Kwamba, ni bora maafa madogo kuliko maafa makubwa.
Lakini hakuna maafa yaliyotokea kwa ukubwa. Kuanza kumlaumu dereva kuikwepa bajaji ni ujuha na upuuzi.
Kwanza kwa taarifa zilizopo, dereva wa bus ndiyo amekosea kuovertake pasiporuhusiwa. Hivyo,bajaji ilikuwa sehemu sahihi kwa wakati sahihi.
Uzembe wa dereva usilete vifo kwa wasiohusika.