Masaa yanakimbia sana, muda si mrefu tunashuhudia msiba mzito wa Simba.Usiku wa deni haukawii kukucha
ana mtoa goli 8
Bonyeza moja vinakuwa vya kwakoKupata hivi vichekesho unabonyeza ngapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kupata hivi vichekesho unabonyeza ngapi?
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Habari zenu wakuu,
Niende kwenye mada moja kwa moja...bila shaka sote tunafahamu kuwa Kesho (tarehe 06/04/2019) Simba Sports Club ya Tanzania inaanza Kutupa karata yake ya mchezo wake wa kwanza wa robo fainali ya CAF CHAMPIONS LEAGUE dhidi ya Miamba ya Lubumbashi DRC Tout Puissant Mazembe (Les Englebet) kwenye uwanja wa Taifa (A.K.A Kwa Mchina/ Machinjioni).
Mchezo huo ambao umeonekana kuvuta hisia za wapenzi wengi wa soka umekuwa gumzo kila mahali huku watu/mashabiki wengi wa soka wakiipa nafasi kubwa TP Mazembe kuitoa Simba Mashindanoni pamoja na kwamba Simba wanaonekana bora zaidi wakiwa uwanja wa nyumbani, ila watu wengi na hata Benchi la ufundi la TP Mazembe lina imani kuwa Simba hawatatoka salama Kwenye mechi ya marudiano kule Lubumbashi.
Ukweli ni kwamba Simba SC ina uwezo wa kuitoa Mazembe na kuwaduwaza wale wanaoibeza. Simba Sc itawashangaza wengi kwani uwezekano wa kupata matokeo chanya Hapa Dar es Salaam na kule Lubumbashi ni mkubwa.
KWANINI NASEMA HIVI?
Nasema hivi kwa sababu Mpaka kufikia hatua hii hakuna hata mmoja kati yetu aliyeipa Simba nafasi ya 100% ya kufuzu hatua hii ya robo fainali. Baada ya Vichapo Vitakatifu vya goli 5-0 kutoka kwa AS Vita na Al Ahly kwa kila mchezo, kwa hakika watu waliikatia tamaa Simba ila walishindwa kujua target ya Simba ambayo ilikuwa ni kuhakikisha kuwa wanashinda mechi zao zote za nyumbani na kwa hakika lile rundo la magoli kutoka kwa Vita na Al Ahly halikuwa kitu mbele ya point 9 za Simba ilizozipata pale taifa na hatimaye kufuzu na kuwaduwaza Watu wengi Africa.
Hivyo basi, Kwenye hatua hii Strategy ya Simba itabadilika na watahakikisha wapata ushindi Dar na kuhakikisha wanapata matokeo chanya kule Lubumbashi jambo ambalo kwa Simba linawezekana na litafanikiwa kwa asilimia 98%. Nawasilisha.
#Louis (The Second)
#Yes-We-Can
#Mazembe-must-die-by-any-means
#Do-Or-Die
Ulipatia away tuSimba 3-0 Mazembe bila Dar es salaam
Tp Mazembe 4-1 Simba Lubumbashi
Sent using Jamii Forums mobile app
,[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji16] ndo 2memalizaMasaa yanakimbia sana, muda si mrefu tunashuhudia msiba mzito wa Simba.
Tp Mazembe 4-1 Simba Lubumbashi
You were right.Habari zenu wakuu,

Soma hyooo