logframe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,242
- 5,543
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mlianza kupata goliMtoa mada una maono,dalili za Simba to win on aggregate zimeanza kujionyesha.Kule Lubumbashi tunahitaji kuanza tu kufunga goli.Jana tulikosa tu bahati lakini tumekosa goli nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini ikabuma,daaah,tukubali tu TP Mazembe ni Class ingine,you can't beat class kama wewe sio wa class hiyo,its either mwenye class ashuke kama ilivyoshuka Manchester au wewe dhaifu upande classKweli mlianza kupata goli