figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Si kweli we Figganiga huna kumbukumbu nzuri, ni mwaka jana tu 2015, mwezi wa pili, katika mechi ya mzunguko wa pili ligi kuu 2014/2015 yule mshambuliaji habari kabisa katika lango la Yanga, ambaye records zinaonyesha 2013 alisababisha Yanga ipigwe 5 kwa 0, alifunga bao pekee kwa shuti la mita 40 lililopelekea Barthez kuwekwa bench hadi mwisho wa musimu.Heshima kwenu wakuu,
Yaani kila Mwanasimba ninayemuuliza mara ya Mwisho mumeifunga yanga lini, wanaishia kurusha kejeli na kumsema Jerry Muro.
Lakini ukweli ni kwamba Simba si chochote si lolote mbele ya Yanga SC. Hii ni aibu kwa timu inayojiita ya kimataifa kushindwa kuifunga yanga Tangu enzi hizo hata Rais Magufuli hajawa rais hadi sasa ni rais lakini mumeshindwa Ifunga Yanga.
Kelele Simba wanazopiga ni za nini? au za kuifunga Ndanda na stand united?
Namomba kujua Simba wanajivunia nini hasa hadi tunashindwa kulala usiku sababu ya makelele yao

Kumbuka Emmanuel Okwi anarejea dirisha dogo desembaSi kweli we Figganiga huna kumbukumbu nzuri, ni mwaka jana tu 2015, mwezi wa pili, katika mechi ya mzunguko wa pili ligi kuu 2014/2015 yule mshambuliaji habari kabisa katika lango la Yanga, ambaye records zinaonyesha 2013 alisababisha Yanga ipigwe 5 kwa 0, alifunga bao pekee kwa shuti la mita 40 lililopelekea Barthez kuwekwa bench hadi mwisho wa musimu.
Miaka miwili kwa soka unaichukulia kimchezomchezo?Hv toka 2014 mpka 2016 kuna tofaut ya miaka mingap
Hv toka 2003 mpka 2008 kulikua na mech ngap achen upuuzi wenu nyie wanayanga au mnangalia mnachoweza kuona na sio kinachotakiwa kuonwaMiaka miwili kwa soka unaichukulia kimchezomchezo?
Tafuta idadi ya mechi walizokutana ndani ya miaka hiyo miwili kisha urudi hapa kuuliza huo ujinga wako [emoji12].
Mwaka mmoja wa soka unachukua miezi kadhaa ya kalenda ya mwaka jana na miezi kadhaa ya mwaka huu. Usipokuwa na ubongo wenye kumbu utahesubu miaka miwili, Rudi kwenye kumbukumbu ukimaliza jazibaa, maana mchezo Dada Nifah, hasira. Yanga baada ya miaka kadhaa, amemfunga simba msimu mmoja tu wa ligi, 2015 - 2016 huko nyuma ni majanga tupu, ilifikia wakati Yanga wakitoa sare wanaenda kufanya sherehe.Miaka miwili kwa soka unaichukulia kimchezomchezo?
Tafuta idadi ya mechi walizokutana ndani ya miaka hiyo miwili kisha urudi hapa kuuliza huo ujinga wako [emoji12].
Unajua nini, umbumbu sio tusi hasa ukimwita mtu mwenye elimu yake kichwani, maana anajua maana yake. Ila neno hili ni tusi kubwa kwa asiye elimu kichwani, na asie elimu anaweza pia anaweza tumia neno hili kama silaha kwa wengine, kama unavyolitumia hapa. Ila umbumbu ni kuto jua kitu, na siku za hivi karibuni tumeona mwenyekiti wa Yanga akiitisha vikao ambavyo tayari anamaadhimio yake kichwani, na wanachama yanga kazi yao ni kupitisha maadhimio ya Manji, wakati upande wa pili wakijadiliana ikiwezekana hata kuvunjika kikao kwa kuto kubariana wote wakitaka kujilizisha. Hili ukilijaribu kulifanya pale jangwani uanacha wako uko shakani.Nashukuru kuwa Yanga maana siko katika lile kundi la mambumbumbu waliosemwa na Mwenyekiti wa Simba mwenye asili ya Somalia
Tarehe 1/10 utashika ukuta tuu mnyama atangurumaNa hawatakaa waifunge yanga milele
Baada ya kumshushia kbano heavy Azam, sasa hyo tar 1/10 Yanga atatagaTarehe 1/10 utashika ukuta tuu mnyama atanguruma
WowBaada ya kumshushia kbano heavy Azam, sasa hyo tar 1/10 Yanga atatagaView attachment 405896