figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Heshima kwenu wakuu,
Yaani kila Mwanasimba ninayemuuliza mara ya Mwisho mumeifunga yanga lini, wanaishia kurusha kejeli na kumsema Jerry Muro.
Lakini ukweli ni kwamba Simba si chochote si lolote mbele ya Yanga SC. Hii ni aibu kwa timu inayojiita ya kimataifa kushindwa kuifunga yanga Tangu enzi hizo hata Rais Magufuli hajawa rais hadi sasa ni rais lakini mumeshindwa Ifunga Yanga.
Kelele Simba wanazopiga ni za nini? au za kuifunga Ndanda na stand united?
Namomba kujua Simba wanajivunia nini hasa hadi tunashindwa kulala usiku sababu ya makelele yao