Ajabu: Tangu 2014 Simba SC hawajawahi ifunga Yanga SC

Wenyewe wanajivunia goli tano, bila ubingwa, kufungwa mechi za msimu wote mwaka Jana.

Saivi kelele nyingi utadhani wameona mwezi...na wakishinda mechi hii ya first October, basi watakuwa na raha sana, hawatakua na haja na ubingwa...

Sisi Yanga uzoefu upo, tukishindwa kihalali au kwa bahati mbaya , ubingwa palepale, kimataifa pale pale!
 


uzoefu wa kufungwa kwa kweli mnao kwenye mashindano makubwa,kule hakuna kubebwa kama huku kwenu,rekodi ya goli tano lazima iendelee kuongelewa kwa kuwa bado haijavunjwa,ukitaka tufunge midomo yetu ivunjeni hiyo rekodi,simba hii sio ile mliyoizoea,hii ina utulivu wote,wa akili na mali,kuifunga ujipange,karibu msimbazi,chama la wana wajanja
 
Nawasubiri Okw boban sunzu, na Amavubi waje kukoleza moto.

Vv
 
hawa wehu kweli ndugu yangu,ushawahi kuona timu inakodishwa duniani,hii mijamaa kwa kweli imevunja rekodi zote za dunia,halafu wamekazana kuwaita simba mbumbumbu kumbe wao ndio zaidi ya simba kwa umbumbumbu
kuuzwa na kukodishwa kipi bora?
 
simba ni mali binafsi ya mohamed dewji
 

Kwa hiyo mmezoea kufungwa na Mnyama ndo maana mnaona ajabu kutokufungwa tokea 2014?
Basi jiandaeni kula kichapo msimu huu.
 
Tarehe 1/10 utashika ukuta tuu mnyama atanguruma
Simba wanatumia 1% kufikiri.. Nashangaa kujinasibu mna timu nzuri ila sioni tofauti na msimu uliopita... Hamisi kiiza ni mfungaji mzuri kushinda Mavugo uwa hakosi magoli mepesi kama huyu mrundi... Ajibu ndio yuleyule kuifunga Yanga hawezi.. Kichuya wala sioni atafanya kipi kwa Abdul au Mwinyi... Lufunga na Mwanjali yale ya Banda yanajirudia
 
Unaongea bila takwimu kiiza mzuri kuliko mavugo kwa takwimu zipi? Wewe subiria upigwe kitu cha moto
 

Nitaongea zaidi jioni ya Saa 12 mnamo tarehe 1, October 2016. Vuta subira!
 
simba ni mali binafsi ya mohamed dewji


yanga ni kama fremu ya kukodisha ya kariakoo na ndio maana mwekezaji uchwara akadiriki kutaka kuikodisha hiyo fremu na mashabiki mlivyokuwa wa uchwara mkamkubalia bila kukubaliana terms za contract
 
Kuna kipindi Yanga walikaa miaka nane bila kuonja ushindi dhidi ya Simba, ilikuwa wakijitahidi sana ni sare tu nazo hazikuwa nyingi sana zaidi ya hapo ni vichapo kwa kwenda mbele.
 
yanga ni kama fremu ya kukodisha ya kariakoo na ndio maana mwekezaji uchwara akadiriki kutaka kuikodisha hiyo fremu na mashabiki mlivyokuwa wa uchwara mkamkubalia bila kukubaliana terms za contract
kuliko kuwa mshabiki wa Simba...bora ushabikie MBAO FC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…