Ajabu wanaosomea madini Tanzania hadi wanamaliza vyuo wanakuwa hawajawahi kuiona dhahabu wala almasi laivu

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Kuna mambo ukiambiwa huwezi kuamini kama yanatokea kwenye nchi iliyobalikiwa madini kama tanzania!

Wanafunzi wanasomea madini kwa maana ya (Mineral Processing, mining science na mining engineering etc)

Asilimia 95% hadi wanamaliza chuo kikuu huwa hawajawahi kuiona dhahabu au almasi laivu kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa mwisho!

Asilimia 5% waliofanikiwa huwa ni kwa jitihada zao binafsi au kupenyezwa na wasimamizi wao!

Hata kwenye maabara za vyuoni hayo madini hayapo bali kuna midoli ya madini ya mifano ambayo siyo halisi yaliyotoka ulaya!

Wengi huwa wanadhani wakiwa field watayaona nako hawapati kuyaona kutokana na Vyumba ambapo madini huhifadhiwa kwenye migodi huingia watu maalum tu!

Bahati mbaya hata baadhi ya walimu wanaofundisha madinivyuoni (tutors) hata wao hawajawahi kuyaona laivu!

Chuo kimoja kiliwahi kupewa zawadi kama dhana ya kujifunzia na madini yale yalidumu hapo chuoni kwa siku tatu tu wakasema yameliwa na panya lakini midori ikabakia hadi leo!

Wanafunzi wamekaririshwa mawe kwa kingereza mfano LIMESTONE, Granite stone lakini ukiwambia wakutajie jiwe la chokaa au mwamba geu wanakwambia hawajawahi kuuona!

Wakati mawe yapo Tanzania inchi ya waswahili lakini midoli ya mawe ya kujifunzia vyuoni analeta mzungu
 
Kuna mambo ukiambiwa huwezi kuamini kama yanatokea kwenye nchi uliyobalikiwa madini kama tanzania!

Chuo kimoja kiliwahi kupewa dhawadi kama dhana ya kujifunzia yalidumu hapo chuoni kwa siku tatu tu wakasema yameliwa na panya lakini midori ikabakia!

Wanafunzi wamekariri mawe kwa kingereza mfano LIMESTONE, Granite stone lakini ukiwambia wakutajie jiwe la chokaa au mwamba geu wanakwambia hawajawahi kuuona!

Wakati mawe yapo Tanzania inchi ya waswahili lakini midoli ya mawe ya kujifunzia analeta mzungu
Hakuna sekta ya kijinga tena hii madini ukutane na watu binafsi wa mtaani.Mwenye mgodi anaamini ushirikina na wapambe wake sio kuwa ajili vijana waliosomea.
Upande mwengine sekta ya madini imejaa ubinafsi sana kwa hawa binafsi sio kampuni
 
Kuna mambo ukiambiwa huwezi kuamini kama yanatokea kwenye nchi uliyobalikiwa madini kama tanzania!

Wanafunzi wanasomea madini kwa maana ya (Mineral Processing, mining science na mining engineering etc)

Asilimia 95% hadi wanamaliza chuo kikuu huwa hawajawahi kuiona dhahabu au almasi laivu kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa mwisho!

Asilimia 5% waliofanikiwa huwa ni kwa jitihada zao binafsi au kupenyezwa na wasimamizi wao!

Hata kwenye maabara za vyuoni hayo madini hayapo bali kuna midoli ya madini ya mifano ambayo siyo halisi yaliyotoka ulaya!

Wengi huwa wanadhani wakiwa field watayaona nako hawapati kuyaona kutokana na Vyumba ambapo madini huhifadhiwa kwenye migodi huingia watu maalum tu!

Bahati mbaya hata baadhi ya walimu wanaofundisha madinivyuoni (tutors) hata wao hawajawahi kuyaona laivu!

Chuo kimoja kiliwahi kupewa dhawadi kama dhana ya kujifunzia yalidumu hapo chuoni kwa siku tatu tu wakasema yameliwa na panya lakini midori ikabakia!

Wanafunzi wamekariri mawe kwa kingereza mfano LIMESTONE, Granite stone lakini ukiwambia wakutajie jiwe la chokaa au mwamba geu wanakwambia hawajawahi kuuona!

Wakati mawe yapo Tanzania inchi ya waswahili lakini midoli ya mawe ya kujifunzia analeta mzungu
Tatizo lipo hapa

Chuo kimoja kiliwahi kupewa dhawadi kama dhana ya kujifunzia yalidumu hapo chuoni kwa siku tatu tu wakasema yameliwa na panya lakini midori ikabakia!
 
Kuna mambo ukiambiwa huwezi kuamini kama yanatokea kwenye nchi iliyobalikiwa madini kama tanzania!

Wanafunzi wanasomea madini kwa maana ya (Mineral Processing, mining science na mining engineering etc)

Asilimia 95% hadi wanamaliza chuo kikuu huwa hawajawahi kuiona dhahabu au almasi laivu kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa mwisho!

Asilimia 5% waliofanikiwa huwa ni kwa jitihada zao binafsi au kupenyezwa na wasimamizi wao!

Hata kwenye maabara za vyuoni hayo madini hayapo bali kuna midoli ya madini ya mifano ambayo siyo halisi yaliyotoka ulaya!

Wengi huwa wanadhani wakiwa field watayaona nako hawapati kuyaona kutokana na Vyumba ambapo madini huhifadhiwa kwenye migodi huingia watu maalum tu!

Bahati mbaya hata baadhi ya walimu wanaofundisha madinivyuoni (tutors) hata wao hawajawahi kuyaona laivu!

Chuo kimoja kiliwahi kupewa zawadi kama dhana ya kujifunzia na madini yale yalidumu hapo chuoni kwa siku tatu tu wakasema yameliwa na panya lakini midori ikabakia hadi leo!

Wanafunzi wamekaririshwa mawe kwa kingereza mfano LIMESTONE, Granite stone lakini ukiwambia wakutajie jiwe la chokaa au mwamba geu wanakwambia hawajawahi kuuona!

Wakati mawe yapo Tanzania inchi ya waswahili lakini midoli ya mawe ya kujifunzia vyuoni analeta mzungu
Madini yameliwa na panya kirahisi hivoo, kweli??

Ila bongo figisu nyiiingiiii
 
Tatizo ni allocation ya vyuo...vyuo kama hivyo vingetakiwa vutengwe mahali kwenye uzalishaji. Hata utafiti kwenye hilo ungekuwa mwingi. Sasa minerals anasoma mtu aliyepo ubungo.
 
Back
Top Bottom