Kuna mambo ukiambiwa huwezi kuamini kama yanatokea kwenye nchi iliyobalikiwa madini kama tanzania!
Wanafunzi wanasomea madini kwa maana ya (Mineral Processing, mining science na mining engineering etc)
Asilimia 95% hadi wanamaliza chuo kikuu huwa hawajawahi kuiona dhahabu au almasi laivu kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa mwisho!
Asilimia 5% waliofanikiwa huwa ni kwa jitihada zao binafsi au kupenyezwa na wasimamizi wao!
Hata kwenye maabara za vyuoni hayo madini hayapo bali kuna midoli ya madini ya mifano ambayo siyo halisi yaliyotoka ulaya!
Wengi huwa wanadhani wakiwa field watayaona nako hawapati kuyaona kutokana na Vyumba ambapo madini huhifadhiwa kwenye migodi huingia watu maalum tu!
Bahati mbaya hata baadhi ya walimu wanaofundisha madinivyuoni (tutors) hata wao hawajawahi kuyaona laivu!
Chuo kimoja kiliwahi kupewa zawadi kama dhana ya kujifunzia na madini yale yalidumu hapo chuoni kwa siku tatu tu wakasema yameliwa na panya lakini midori ikabakia hadi leo!
Wanafunzi wamekaririshwa mawe kwa kingereza mfano LIMESTONE, Granite stone lakini ukiwambia wakutajie jiwe la chokaa au mwamba geu wanakwambia hawajawahi kuuona!
Wakati mawe yapo Tanzania inchi ya waswahili lakini midoli ya mawe ya kujifunzia vyuoni analeta mzungu