eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
ni kweli ajali huwa zinatokea kila mwezi kutokana na maagano ya kishetani,mila na kutambikia mizimu kila mwezi.
Hali inazidi kuwa mbaya mwezi wa mwisho wa kila mwaka, kwa sababu watu dizaini hiyo huwa wanakuwa wanaingia mikataba mipya na hayo maagano yao. kwa hiyo unaweza kuona mnatambika lakini kumbe ni sadaka inatolewa ili watu watu kadhaa walioko kwenye ukoo kabila au taifa kwa ujumla wafe kwa njia ya ajali.
sasa shida kubwa ni hiyo damu inayomwagika kutokana na ajali. Nani anaitumia na kwa sababu gani,amelenga watu wa dizaini gani katika ukoo,kabila au taifa .
Damu yoyote inanunua roho za watu au kuuza roho za watu au kushusha watu iliyowakusudia,kuwainua au kuwafunga watu fulani, kutokana na jinsi wanaoitumia walivyonuia.
watu wa Mungu aliye hai tuliombee kanisa pamoja na watumishi wake, hapa nazungumzia waimbaji wa nyimbo za injili, mitume, manabii wa kweli ya Mungu, wachungaji, wainjilisti, na walimu wa neno la Mungu, pamoja na wanaoinukia katika karama na vipawa mbalimbali kwa ajili ya kumtumikia Mungu.
usije ukashangaa tu mara hao niliowataja hapo juu ukaanza kusikia wanafanya vituko tu mpaka tukashangaa na ukajiuliza kwa nini au makosa waliyowahi kufanya zamani yakiibuliwa upya mpaka ukawa unajiuliza kwa nini sasa.
hiyo ni damu inayomwagika tena za watu. mwaka ujao wa 2025 tuliombee sana taifa letu la Tanzania bila kusahau kanisa na watumishi wake.
hawa wakipigwa ni hasara kubwa sana kwa taifa..
Maombi ni silaha tegemeo la kila mmoja kwa ajili ya ushindi wake.
Damu nyingine zinanuia mabaya kwa taifa ndio maana tunatakiwa kuomba.
wengine wanakufa kwa njia nyingine sio lazima ajali lakini lengo ni lile lile kuteketeza Familia, ukoo, kabila na taifa kwa ujumla kupitia damu za watu.