figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Haya Malori yamezidi. Hapa tena Gari ndogo hoi.
π ππΊπ π ππΊ πππ π ππΊ ππΊππ ππ½πππ ππΊπΎππΎπ ππΊ Dumila πππΎππππΎπΊ π πΎπ 12|06|2025
View attachment 3366263
Wwpi hapo.mleta mada?Ajali Nyingine: Bus la Hai Express limeshaua Watu Usiku huu. Polisi wanaitwa wakaokoe
View attachment 3366260
Hii Post nimekosea kuiweka. Ajali imetokea ila si Muda huu.Mungu wangu location?
Madereva wa ma bus kama kawaida yaoHii Post nimekosea kuiweka. Ajali imetokea ila si Muda huu.
Hii ajali imehusisha Lori la mizigo aina ya Scania lenye namba za usajili T 406 CZS tela namba T 804 BUB kugongana na Basi la abiria la Hai lenye namba za usajili T 523 EKM na imeua watu 10.
Ajali hii imetokea leo alfajiri Juni 12,2025 katika eneo la Lugono kata ya Melela Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, Barabara kuu ya Morogoro-Iringa.