Ajali Hii imegeuka kuwa jambo lingine kabisa

Hii ndio JF.........kama na waona wazee wa TZ 11.....wanavyoisoma hii CHAI kinyonge 😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Story tamu sana sijui inafundisha nini kwa wasio na Gari wala Chombo cha usafiri
 
Kiduku pole sana kwa ajari, jitahidi kuwa makini
 
Wanasema chizi hawezi kujua hana akili anaona wenzake ndo hawana akili anawacheka mimi mwenyewe sijui nina maana gani? Hapa
 
Ulipotelewa wapi kiduku bae,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…