Ajali Hii imegeuka kuwa jambo lingine kabisa

Mafukara bhanaaa tuna vuruguu
tunapenda kupiga story za wenye navyoo
 
Kiduku nisamehe boss,nilikuwa naendesha Subaru ya shemeji nikaogopa kufokewa.Kulikuwa hamna haja kuja kunitangaza huku
 
Kiduku Lilo hio tabia ya kuwagonga watu nyuma sio nzuri, jitahidi uwe unawagonga japo ubavuni.
 
Acha Fuji wewe, ume maskini barabarani!
 
Msg Ni moja TU " Utu Kwanza katika kila Jambo" hayo mengne mwachie kidukulilo
 
Hii ni utani uliofanywa na Jeff Koinange na broadcaster mwingine huko Kenya sikumbukì radio yao ila nilisikiliza mwaka juzi
 

Dah! Ila wee Jamaa Bwa

Hahahah, Kiduku Lilo
 
Naomba kazi ya kuosha gari yako mkuu serious!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…