Ajali Hii imegeuka kuwa jambo lingine kabisa

Ubusy dda yangu. Ila secretary alikuwa anaangalia kila jina langu linapotajwa ananipa taarifa.ni mdada ana jitahidi kidogo yeye ana degree ya human resource alisoma canada na Diploma ya u secretary toka South Africa ndo maana naona at least hivyo hivyo si haba.

Sio vizuri unakosa Jf zaidi ya mwezi?
 
Mr kiduku naomba business card number yako Kuna ishu nataka tufanye
 
Ahaaaa secretary kasoma Canada dah unanifurahishaga kweli, saa nyingine naingisa Jf kuona kama umepost nipunguze stress.

vip ndugu zako huko canada na Us ni wazima, wameokoka tatizo la changamoto ya kupumua?
 
Acha kudanganya watu wewe!Mara jeep,mara ranger.Ili iweje maana hakuna wa kukusifia,na pengine huna hata bajaji.
Oh,Norwey,Sijui wapi?Unasahau hizo ni nchi za ulaya ambazo wt hauwarusiwi kwenda kwa sasa kwa ajili ya covid-19
Bongo lala.
 
Upo sahihi Kiduku upo mwaka niliwahi shuhudia jamaa wa boda boda kagonga shafu la kulia na mirror ya kulia ya BM ilikua X 6 ile akaanguka mbele ya hiyo dereva akashuka haraka na kumuangalia boda boda huku boda boda akitoa machozi na kuomba msamaha yule dereva alikuuliza upo sawa jamaa anasema nipo sawa akaita tax akawapa hela boda boda akatibiwe wengi tuliokua pale darajani tulimshukuru jamaa kwa ukarimu wake na alichokifanya aliita gari ingine ikaja daah alinifundisha kitu yule mzalendo wala hakuangalia gari yake hata kidogo yeye yupo anasikitika tuu kama jamaa yupo ok ingawaje yule boda boda alikua vizuri tuu na hakuamini kabisa agonge harafu alipwe....
 
Hahaaa itakuwa ulikuwa unagonga matako, mwenye hajisifii wala hagongi ovyo ovyo labda ni pesa za urithi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…