GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
jamaa wawili ambao walikuwa wakiendesha magari wameongozana wamegongana leo maeneo ya posta. chanzo cha ajali kwa mujibu wa mke mmoja wa hao madereva ni mwana dada mmoja mrembo wa kibantu aliyekuwa akitembea pembezoni mwa bararabara. anasimulia ripota wetu Gudume Gwenu Gwa Mbegu
"mwanaume mmoja aliyekua anamwendesha mkewe leo ameingia matatani baada ya kuligonga gari lililokuwa mbele yake. inasemekana kaka huyo aliyekuwa akiendesha gari aina ya Mark X alijikuta anaingia nyuma ya gari iliyokuwa mbele yake aina ya Toyota Vanguard na kusababisha uhalibifu wa kutosha katika magari hayo. dereva aliyekuwa akiendesha mark x alikuwa amempakiza mkewe na katika kangalia angalia alama za barabarani anapoendesha inasemekana macho yake yakaangukia kwa alama ambayo ilimshtua sana. alama ya maliasili za kiafrika.dada mmoja aliyekuwa amefungasha mzigo na mahips ya kutosha alikuwa kivutio bora kabisa.
kumbe dereva wa mbele naye alipigwa na bumbuwazi na kujikuta amesimama ghafla pasipo kufikiria jambo lingine na hivyo kusababisha huyu wa nyuma aliyekuwa na mark x kumgonga. waliposhuka kila mtu akimlaumu mwenzie na huyu wa nyuma akimwambia wa mbele mwenye vanguard kuwa amesababisha ajali ndipo mkewe akarukia na kuanza kumsema aache uhuni.ajali kasababisha yeye sababu ya kumwangalia "yule malaya" nimenukuu. kumbe wakati jamaa akimwangalia yule dada mrembo na wife naye alishuhudia kuwa dereva mumewe amepoteza concentration barabarani na kusababisha ajali.
ugomvi ukawa mkubwa mume akiona kuwa mke amemsaliti na wakati alipaswa kumtetea na jamaa wa mbele akitaka alipwe pesa kwa ajili ya matengenezo ya gari.wakati huo trafiki naye alijikuta akiacha kuchukua maelezo na kumwangalia yule mrembo aliyekuwa sasa ametoka kula anarudi ofisini kwake huku mume na mke wanagombana na aliyekuwa anaendesha vanguard kujikuta naye anawaacha gari kumkimbilia yule dada kuomba namba ya simu. trafiki akawa amesimama tu amepiwa na bumbuwazi.kiukweli yule dada ameumbika.asikwambie mtu.watu wameumbwa. nikaona isiwe shida mimi nitamfuatilia tu kimya kimya kujua anaelekea ofisi gani.