Ajali iliyoua watu 6 Dodoma: Wanaopaswa kukamatwa na kuwekwa ndani ni Mfugale na Meneja wa Dodoma wa TANROADS Dodoma, sio dereva wa lori

Kifupi barabara nyingi zina mashimo sana Tanroads waamshwe.
 
Unahitaji ujasiri na uzoefu kwenda mkoani..otherwise kifo kinakuita..Kuna mashimo, mafuta, magari mabovu, matawi ya miti yakiyoachwa kiholela barabarani n.k
 
Acha kutetea makosa

Mwenye roli angekuwa mwangalifu ajali isinhetokea

Hilo eneo haliruhusu kuovertake na pia n sehemu yenye njia inayoingia njia kuu kwa Hali ya kawaida Kama dereva unatakiwa kuchukua tahadhari kubwa Sana kwasababu madereva wasio makini wanawezasababisha ajali

Mwenye roli hakutakiwa kutanua bali angesimama kwanza
 
Acha kutetea makosa

Mwenye roli angekuwa mwangalifu ajali isinhetokea

Hilo eneo haliruhusu kuovertake na pia n sehemu yenye njia inayoingia njia kuu kwa Hali ya kawaida Kama dereva unatakiwa kuchukua tahadhari kubwa Sana kwasababu madereva wasio makini wanawezasababisha ajali

Mwenye roli hakutakiwa kutanua bali angesimama kwanza
 
Kusimamisha lori sio kama vitz
 
Kusimamisha lori sio kama vitz
ukiwa dereva mwenye tahadhari utaweza labda Kama breki zimfeli na upo na mwendokasi mkubwa zaidi ya 50

Mjini speed max n 50 zingatia Hilo na hakikisha kunakuwa na umbali wa kutosha Kati ya gari yako na iliyo mbele yako pamoja na kumsoma aliyembele yako anavyoendesha
 
Gari kubwa ni tofauti na gari ndogo hata kusimama kwake ni tofauti pia hujui alikuwa kwenye mwendo gani,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukienda pale stendi ya mbezi mwisho kama unataka kutoka kuna bonge la mshimo, hili shimo limekuwa ni kero sana kwakweli na linazidi kuchimbika sasa sijui hilo shimo wanategemea pesa za msaada kutoka kwa mabeberu

Sent using Jamii Forums mobile app
Na inasemekana stendi hiyo (kabla ya ile ya Malamba kuanza kutumika) inaingiza sio chini ya milioni 15 kwa wiki, hizo pes zinashindwa kuziba shimo hilo?
 
Ila picha hapo juu c yenyewe ni ya kutengeneza.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii inatosha kabisa kuwashtaki mahakamani angalau waanze kuwa makini na maisha ya watu. UZEMBE
 
Proximity Cause bila shaka wewe ni learned friend..
 

Hela zipo sana tena wana uwezo kuwa na karakana kila sehemu ila ni uzembe tu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mimi nilidhani kuwa kwenye barabara mbovu dereva hupaswa kuwa makini zaidi.
 
Yaani haijasha hata miezi miwili tangu niandike hapa! Niliandika kuhusu Ajali ya Majinja miaka ile kuwa ilikua ni uzembe wa TANROADS na ajali ya basi gani lile na Lorry pale mlima Sekenke baada ya Lorry kukwepa shimo! Na ajali nyingine nyingi. These people watatumaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata barabara za mijini watu mnavyokepana kwenye mashimo ni balaa, sijwahi kukutana na gari inayofanya ukaguzi wa barabara. Hizi barabara zitakuwa zinakaguliwa hapo ofisini kwenye kompyuta, mithili ya mtu anayeangalia kideo
 
Hi ajali imeniulia best friend wangu na majirani zangu haha Nzuguni mtaani kwangu pia nakumbuka nilitoka jumapili ya 29/12/2019 nikamuuliza mdau niliyekuwa nae baada ya kuona shimo kubwa katikati ya barabara kulikoni wakati kila siku viongozi wakubwa wa Nchi hi wanapita akanijibu nae anashangaa usiku ndo ikatokea ajali mbaya na kuondoa ndg zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…