Wewe umepungukiwa taarifa?!Kuna ajali eneo la mto wami upande wa bagamoyo baada ya mzani mbele ya magenge ya yauza matunda.
Ajali hiyo imeusisha basi la Cost line lifanyalo safari zake kati ya Dar -Tanga na gari ndogo aina ya Noah, mwenye taarifa kamili na hii ajali tafadhali weka hapa umma unasubili kwa undani
Ajali lazima ziongezeke leseni za udereva zatolewa kama njugu na hawa TRAJamani mbona ajali nyingi hivi halafu Noah na magari makubwa.
Nawaharumia sana hao wa Noah.Mungu aweke mkono wake.