AJALI KUMI MBAYA

Nachaone

Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
67
Reaction score
73
[emoji305][emoji305]UJUMBE WA LEO[emoji305][emoji305] .
[emoji771][emoji771][emoji771][emoji771][emoji771][emoji771][emoji771][emoji771]
Ajali kumi mbaya
.
. Hizi ndio ajali mbaya kuliko zote hapa Duniani.
Japo wengi huziona za kawaida tu, omba usikutane nazo kabisa!
1.[emoji871] Kuvunjika Moyo wa Kuswali
2.[emoji871]Kutopenda kusikiliza mawaidha
3.[emoji871]Kutojali halali na haramu
4.[emoji871]Kutosoma QUR-AN
5.[emoji871]Kuondokewa na hofu ya Mungu
6[emoji871].Kutowajali wazazi
7.[emoji871]Kutokuwa na huruma kwa viumbe vya Allah
8.[emoji871]Kutenda Dhambi wakati unajua
9.Kudhani utaishi milele
10[emoji871].Kubwa zaidi ya yote Kutokua na Roho ya Kusamehe.

Namuomba ALLAH atuepushe na ajali hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe kutokusoma Quran ni ajali?
Kutenda dhambi huku ukijua nayo ni ajali?
Yaani hizo zote ulizozitaja kama ni ajali basi traffic police wana kazi sana asee!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Worst accident ever
1.Kuwa mtumwa wa vitabu vya dini
2.kua na hofu ya kutafuta ukweli wa mambo kwasababu ushapandikizwa dhana ya hofu ili usiweze kufikiri nje ya box

Sent using unknown device
 
Inshaallah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…