Aweke picha yake eti eehWeka picha ushauriwe vizuri.
Hazijadondoka bado zimeshikiliwa na kwenye vijifuko vyake ila zimeshuka chini kidogo ya position yake ya kawaidazimedondoka chini ? ebu elezea vizuri
Jamani,wandugu naombeni ushauri tafadhari.Kuna kijana wangu wa miaka 17 anapenda sana mieleka na kick box,sasa juzi kamchokoza msela mmoja kampiga Kofi moja la kwenye korodani,zote zimeshuka chini lakini hazijapasuka.
Sasa nauliza kuna dawa ya kuzirudisha kuwa jinsi zilivyokuwa,halafu kweli atakuwa na uwezo wa kumtia mimba kweli mtu na hizi korodani zinazoninginia sana chini
Karibu tena mkuu.KIJANAA WAKO WAPI WEWE? SI USEME NI WEWE TU USAIDIWE?
Upo mkuu!! Shule zimefungwa cyoKIJANAA WAKO WAPI WEWE? SI USEME NI WEWE TU USAIDIWE?
NDIO ZIMEFUNGWAUpo mkuu!! Shule zimefungwa cyo
SHUKRANI MASTERKaribu tena mkuu.