Ajali kwenye korodan

Ajali kwenye korodan

Shapumbu

New Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
4
Reaction score
1
Jamani,wandugu naombeni ushauri tafadhari.Kuna kijana wangu wa miaka 17 anapenda sana mieleka na kick box,sasa juzi kamchokoza msela mmoja kampiga Kofi moja la kwenye korodani,zote zimeshuka chini lakini hazijapasuka.

Sasa nauliza kuna dawa ya kuzirudisha kuwa jinsi zilivyokuwa,halafu kweli atakuwa na uwezo wa kumtia mimba kweli mtu na hizi korodani zinazoninginia sana chini
 
Jina lako ndio limesababisha amekutwa na yaliyomtokea.
 
😂😂😂huu uzi umenifanya nicheke..mpatieni msaada wakuu😀
 
Mkuu vaa POP, acha sehemu ya kukojolea na kushushia mzigo tu. Zitaji balance..[emoji23][emoji23]
 
Muulize kama zina muuma au vipi. Kama haziumi tatizo lipo wapi sasa zitaji balance tu.
 
Kupasuka ni ngumu maana zinateleza kuhusu kutia mimba ajaribu watoto wasiosoma wao wengi tu
 
Vifurushi vya Bei Nafuu Kutoka Mitandao ya Simu
Vifurushi vya muda wa maongezi, Internet pamoja na SMS

karibu ujionee mwenyewe
Whatsapp 0620434182
 
Back
Top Bottom