JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Kuna taarifa kuwa kumetokea ajali ya mabasi mawili ya Mwendo Kasi maeneo ya Mbezi kwa Yusuph, Dar es Salaam, leo Septemba 13, 2022. Kuna mwenye taarifa kamili kuhusu tukio hili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watayamaliza kindugu[emoji3][emoji3]Wenyewe kwa wenyewe hiyo
Ova
Ili kufanyaje sasaaaDaah huwa yanasogeleana sana
Mi mwenzenu nkipanda basis sipendi kukaa mbele wala nyuma.nkikaa nyuma naona kabisa kifo kinanifuata.mbele naona kinakuja USO kwa USO.
Migari yeneyewe siielewi.pata picha hill gari ya mbele kuna watu halafu wamesinzia huko mwisho