ajali mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    JamiiForums Tanzania Basi la Mwendokasi lanusurika kuwaka moto Morogoro road

    Wakuu, Kuna basi moja la mwendokasi limenusurika kuwaka moto asubuhi hii. Stori inaanzia Mitaa ya Shekilango ambapo limetupita, mimi na rafiki yangu tukiwa kwenye bolt. Kwa moshi uliokuwa unatoka haikuwezekana hata kusoma number plate yake, ulikuwa mzito sana kiasi cha kuziba barabara yote...
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Aliyegongwa na mwendokasi atambuliwa na mkewe na ndugu yake

    Mtembea kwa miguu aliyegongwa na Basi la Abiria la "Mwendokasi" wiki iliyopita ambaye ndiye alikuwa Majeruhi pekee wa ajali hiyo aliyesalia katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), ametambulika ambapo jina lake ni Osam Milanzi, Mkazi wa Manzese Midizini. Meneja Uhusiano wa MOI...
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mtembea kwa miguu aliyegongwa na basi la mwendokasi atolewa ICU

    Mtembea kwa miguu aliyegongwa na Basi la Abiria la "Mwendokasi" wiki iliyopita ambaye ndiye alikuwa Majeruhi pekee wa ajali hiyo aliyesalia katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), ameondolewa katika Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) na kuhamishiwa wodi nyingine ya HDU baada ya afya...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ajali: Mabasi mawili ya Mwendokasi yamegongana leo Septemba 13, 2022

    Kuna taarifa kuwa kumetokea ajali ya mabasi mawili ya Mwendo Kasi maeneo ya Mbezi kwa Yusuph, Dar es Salaam, leo Septemba 13, 2022. Kuna mwenye taarifa kamili kuhusu tukio hili?
Back
Top Bottom