Basi la Mwendokasi lanusurika kuwaka moto Morogoro road

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
450
Reaction score
3,368
Wakuu,

Kuna basi moja la mwendokasi limenusurika kuwaka moto asubuhi hii. Stori inaanzia Mitaa ya Shekilango ambapo limetupita, mimi na rafiki yangu tukiwa kwenye bolt. Kwa moshi uliokuwa unatoka haikuwezekana hata kusoma number plate yake, ulikuwa mzito sana kiasi cha kuziba barabara yote.

Nawaza, dereva alikuwa haoni moshi huu kupitia side mirror? Maana hakusimama, aliendelea kwenda tu. Vipi lingewaka huku abiria wote wakiwemo?

Tulipokaribia maeneo ya kituo cha Mwembechai, tulishangaa kusikia kelele na watu wakiruka kutoka kwenye moshi mzito, kumbe ilikuwa ni ile mwendokasi watu wanaruka kutoka madirishani.

Ilibidi barabara ifungwe kwa muda maana watu walikuwa busy kujiokoa. Nasikitika sikuweza kurekodi video nzuri sababu ya upande niliokuwa nimekaa kwenye gari lakini nilichokiona asubuhi hii kinanipa wasiwasi sana kuhusu mustakabali wa usafiri huu wa umma unaopigiwa kelele kila siku bila mabadiliko yoyote.

Nasikia devera akisaidiana na wapita njia walizima ule moto kwa fire extinguishers.

Ukweli hauzungumzwi ila leo nitakumegea siri kidogo

Hayo mabasi sio condusive kwa matumizi kulingana na mazingira yetu ukijumlisha na ubovu wa service ndio kabisaa! Yale ni majeneza yanayotembea, kuna siku tutaishusha bendera nusu mlingoti kwa maafa yatakayotokea
 
Wakuu,

Kuna basi moja la mwendokasi limenusurika kuwaka moto asubuhi hii. Stori inaanzia Mitaa ya Shekilango ambapo limetupita, mimi na rafiki yangu tukiwa kwenye bolt. Kwa moshi uliokuwa unatoka haikuwezekana hata kusoma number plate yake, ulikuwa mzito sana kiasi cha kuziba barabara yote.

Nawaza, dereva alikuwa haoni moshi huu kupitia side mirror? Maana hakusimama, aliendelea kwenda tu. Vipi lingewaka huku abiria wote wakiwemo?

Tulipokaribia maeneo ya kituo cha Usalama, tulishangaa kusikia kelele na watu wakiruka kutoka kwenye moshi mzito, kumbe ilikuwa ni ile mwendokasi watu wanaruka kutoka madirishani.

Ilibidi barabara ifungwe kwa muda maana watu walikuwa busy kujiokoa. Nasikitika sikuweza kurekodi video nzuri sababu ya upande niliokuwa nimekaa kwenye gari lakini nilichokiona asubuhi hii kinanipa wasiwasi sana kuhusu mustakabali wa usafiri huu wa umma unaopigiwa kelele kila siku bila mabadiliko yoyote.

Nasikia devera akisaidiana na wapita njia walizima ule moto kwa fire extinguishers.

View attachment 3313829
Nilitoka mkoani siku moja nikapanda mwendokasi, kwa jinsi tulivyokuwa tumebanana akili yangu ikawa inawaza, ikitokea gari limewaka itakuwaje kutoka mule mana kuna muda watu walikuwa wanapiga kelele kwamba kuna moto kumbe haukuwa moto, yale magari si yana injini nyuma vile! Njia nzima nilikuwa nina mawazo. Poleni sana watu wa Dar, muje muandamane mpiganie maisha bora ya usafiri!
 
Wakuu,

Kuna basi moja la mwendokasi limenusurika kuwaka moto asubuhi hii. Stori inaanzia Mitaa ya Shekilango ambapo limetupita, mimi na rafiki yangu tukiwa kwenye bolt. Kwa moshi uliokuwa unatoka haikuwezekana hata kusoma number plate yake, ulikuwa mzito sana kiasi cha kuziba barabara yote.

Nawaza, dereva alikuwa haoni moshi huu kupitia side mirror? Maana hakusimama, aliendelea kwenda tu. Vipi lingewaka huku abiria wote wakiwemo?

Tulipokaribia maeneo ya kituo cha Usalama, tulishangaa kusikia kelele na watu wakiruka kutoka kwenye moshi mzito, kumbe ilikuwa ni ile mwendokasi watu wanaruka kutoka madirishani.

Ilibidi barabara ifungwe kwa muda maana watu walikuwa busy kujiokoa. Nasikitika sikuweza kurekodi video nzuri sababu ya upande niliokuwa nimekaa kwenye gari lakini nilichokiona asubuhi hii kinanipa wasiwasi sana kuhusu mustakabali wa usafiri huu wa umma unaopigiwa kelele kila siku bila mabadiliko yoyote.

Nasikia devera akisaidiana na wapita njia walizima ule moto kwa fire extinguishers.

View attachment 3313829
iko siku yataua watu wengi sana ,serikali itagharamia misiba ya watu hao watu na sote kwa pamoja tutasema KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA!!!

muda utasema
 
Kipindi haya mabasi yana route ya kwenda Kibaha kuna moja liliwahi kuwaka pale Kibamba njia panda ya kwenda Mloganzila na mimi nilikuwa mmoja wa waliokuwa ndani ya basi hilo ila hakuna aliepatwa na tulinusurika wote.
Nakumbuka wakati tupo kwenye foleni ya kupanda basi pale Kimara likaja hilo basi lilikuwa chakavu na hata mlio wake haukuwa wa kawaida. Lilijaza watu kama mnavyoyajua. Wakati linatembea binafsi nilihisi sauti isio ya kawaida kila mara inatoka kwenye engine nikataka kupiga kelele nimstue dereva maana nilikuwa nyuma kabisa ya gari lakini nikawaza kuwa mimi sio fundi magari na kama lipo tatizo dereva ataliona kupitia dashboard.
Tulipofika hapo Kibamba njia panda Mloganzila ndio ukatoka mshindo mkubwa sana hali iliopelekea abiria kupiga kelele kwa dereva, akafanikiwa kulipaki pembeni na tunashukuru milango ilifunguka tukakimbizana kutoka nje.
Moshi mzito sana ukawa unatoka kwenye engine watu wakawa wanaogopa hata kulisogelea kwa hofu ya kulipuka.
Likawaka moto huku tukilishuhudia.
 
Hiyo ilishanikuta Kimara Korogwe jumamosi moja asubuhi kama saa tatu hivi; nimepanda tu hata hatua kumi halijamaliza mara bonge la moshi dereva akafanikiwa kufungua milango watu wakatoka lakini halikuungua. Sema tu baadhi ya abiria walipata michubuko midogo midogo.
 
Wakuu,

Kuna basi moja la mwendokasi limenusurika kuwaka moto asubuhi hii. Stori inaanzia Mitaa ya Shekilango ambapo limetupita, mimi na rafiki yangu tukiwa kwenye bolt. Kwa moshi uliokuwa unatoka haikuwezekana hata kusoma number plate yake, ulikuwa mzito sana kiasi cha kuziba barabara yote.

Nawaza, dereva alikuwa haoni moshi huu kupitia side mirror? Maana hakusimama, aliendelea kwenda tu. Vipi lingewaka huku abiria wote wakiwemo?

Tulipokaribia maeneo ya kituo cha Mwembechai, tulishangaa kusikia kelele na watu wakiruka kutoka kwenye moshi mzito, kumbe ilikuwa ni ile mwendokasi watu wanaruka kutoka madirishani.

Ilibidi barabara ifungwe kwa muda maana watu walikuwa busy kujiokoa. Nasikitika sikuweza kurekodi video nzuri sababu ya upande niliokuwa nimekaa kwenye gari lakini nilichokiona asubuhi hii kinanipa wasiwasi sana kuhusu mustakabali wa usafiri huu wa umma unaopigiwa kelele kila siku bila mabadiliko yoyote.

Nasikia devera akisaidiana na wapita njia walizima ule moto kwa fire extinguishers.

View attachment 3313829
Hiyo ni ishara kuwa yanayakiwa yasitoe huduma tena, yauzwe kama scraper!
 
Fire extinguishers ni muhumu sana hata katika nyumba tunazoishi.
 
Nchi ya mazuzu unatoa watu wenye akili unaleta watu viazi mviringo hivi kwa akili ya kawaida Waziri KIndamba aliyeua TTCL unaweza kumpa mwendokasi? linchi linajiendea tu kama gari isiyokuwa na dereva, ila ndio mjue bila mabadiliko Bongo hamtoboi, yani mradi unakufa kwa kuzidiwa na wateja na sio kukosa wateja.
 
Kweli haya mabasi ni majeneza yanayotembea. Kwa hizi shuhuda inabidi tu serikali ichukue action ya haraka
 
Back
Top Bottom