Ajali: Mabasi mawili ya Mwendokasi yamegongana leo Septemba 13, 2022

Mi mwenzenu nkipanda basis sipendi kukaa mbele wala nyuma.nkikaa nyuma naona kabisa kifo kinanifuata, mbele naona kinakuja USO kwa USO.

Migari yeneyewe siielewi.pata picha hili gari ya mbele kuna watu halafu wamesinzia huko mwisho
 
Huu ni uzembe wa wazi dereva wa nyuma alipe matengenezo
 
Mi mwenzenu nkipanda basis sipendi kukaa mbele wala nyuma.nkikaa nyuma naona kabisa kifo kinanifuata.mbele naona kinakuja USO kwa USO.
Migari yeneyewe siielewi.pata picha hill gari ya mbele kuna watu halafu wamesinzia huko mwisho

Unaamshwa na mkato wa glass kisogoni.
 
Kwa muonekano wa mabasi nadhani hakuna abiria aliyepoteza maisha,labda majeruhi tu.
Anyway tungoje taarifa kamili.
 
Yupi alikuwa na kosa
Wambele 2.50 vs wanyuma 2.65 odds
 
huo ni uzembe wa dereva wa gari ya nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…