Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Barabara ya Dar -Arusha kuptia Tanga kuna ajali nyingi ambayo madera wanachangia kiasi kidogo ila kwa sehemu kubwa ni mamlaka inayosimamia barabara.
Maeneo ya Tengwe, Kwankale, Changombe,Kabuku Kwedukazu, Chogo Stand , Msambiazi , Manga na Segera kuna mashimo , kuna kona ambazo magari makubwa yakiharibika hakuna pa kupaki na ajali nyingi ni kukwepa mashimo.
Kuweka Camera barabarani ni suluhisho dogo sana, kwanza barabara itengenezwe vizuri, mashimo yafunikwe na camera zifuate.
Msando anaposema kuna Camera wanafunga ambazo hatutaziona, zitasaidia ninin kama Dereva kakimbia, sababaisha ajali na vifo hata akifungwa maisha atarudisha maisha ya wafu?
Hizi barabara tumeachiwa na wakoloni , kipindi Tanganyika hakuna magari zaidi ya elfu mbili, leo hii tuna magari zaidi ya milioni 15 na bado tunaendelea na wembamba ule ule?
Je, zile gari VXR zenye namba zisizo eleweka nazo zinahusika na hizo Camera?