Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 757
- 1,822
Taarifa zilizotufikia muda huu katika eneo la Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ni KwaMBA, basi la Kimotco likiwa kwenye mwendo Kasi limepindukia na kusababisha vifo vya watu watatu baada ya kupasuka tairi ya mbele.
Mkurugenzi wa basi Hilo Benedict Mberesero amethibitisha tukio hilo.
Basi Hilo lilikuwa Linatoka mkoani Arusha
View attachment 1987059
huyo wamchukue tu maana hata yeye ni ajali kwa watoto wa wenzieRAS wa mkoa wa arusha, alipotezea maisha eneo hilo hilo, mwaka 2021 mamia ya watanzania wamepoteza maisha na ulemavu wa kutisha barabara ya arusha kwenda Dodoma. Siku IGP atafia kwenye hiyo barabara ndipo serikali itakumbuka kuweka camera za kudumu za kusaidia kujua speed za magari kwenye barabara hiyo.
Ni kweli wameanza kupuuza,juzi jpili gari ya kutoka Mwanza imeingia Mbezi stand saa 4.17 usiku badala ya saa 7 kama ilivyokua huko nyuma,kwa hiyo kwa sasa ni mwendo mdundo tu huko barabarani hakuna anayekemeaAjali za barabarani zimeanza kuongezeka.
Mabasi yameanza kupuuza sheria za usalama barabarani.
sio kama mwaka jana, sijaelewa ni kitu gani kimepelekea huu uvunjifu wa sheria, madereva wa mabasi ya abiria siku hizi wanaendesha mwendo kasi bila hata kujali mbele kuna trafiki.!!
poleni sana wafiwa.
Serikali ipige marufuku mataili ya kichina, hayaaminiki, yatatumalizaTaarifa zilizotufikia muda huu katika eneo la Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ni KwaMBA, basi la Kimotco likiwa kwenye mwendo Kasi limepindukia na kusababisha vifo vya watu watatu baada ya kupasuka tairi ya mbele.
Mkurugenzi wa basi Hilo Benedict Mberesero amethibitisha tukio hilo.
Basi Hilo lilikuwa Linatoka mkoani Arusha
View attachment 1987059
Wiki iliyopita gari nyingine tena ya Kimotco ilipata ajali maeneo ya Kolo barabara ya Babati - DodomaTaarifa zilizotufikia muda huu katika eneo la Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ni KwaMBA, basi la Kimotco likiwa kwenye mwendo Kasi limepindukia na kusababisha vifo vya watu watatu baada ya kupasuka tairi ya mbele.
Mkurugenzi wa basi Hilo Benedict Mberesero amethibitisha tukio hilo.
Basi Hilo lilikuwa Linatoka mkoani Arusha
View attachment 1987059