Ajali mbaya:Gari zilizobeba cement za Dangote zagongana

Ila dunia ya leo jamani! Watu wanahangaika na maisha,wenzao wanapambana kuchukua tu video. Hatukatai umhimu wa taarifa hizo,lakini badhi wangepambana kuwakimbiza majeruhi hospitali
Si mchezo kaka hata mimi nimeshangaa kwa video hii niliyoiona,badala ya kuhangaika kuwasaidia majeruh mtu unapata nguvu ya kuchukua video.
Binadamu wa sasa wamebadilika sana
 
Ila dunia ya leo jamani! Watu wanahangaika na maisha,wenzao wanapambana kuchukua tu video. Hatukatai umhimu wa taarifa hizo,lakini badhi wangepambana kuwakimbiza majeruhi hospitali
Hebu acheni lawama. Anachukua video atume iwafikie wenye uwezo wa kutuma msaada. Hukusikia anasema gari inataka kuwaka watu wamenaswa ndani wanaombq msaada kuwatoa? Kuna ajali gari inajikunja bila vifaa huwezi kumtoa mtu.
 
Gari za Dangote, ivi zinahujumiwa ama ni madereva kuto kutii alama za barabarani ama gari zenyewe ni tatizo, ama wa kusini hawazipendi.... ama ama ...........

poleni mlokumbwa na changamoto
 
Kwanini mkuu?
 
Kafara zinatolewaaa.

Huku mtaani kwetu, kuna jamaa ni dereva wa Hizo gari, kamuuza mdogo wake kwa hiyo kampuni.

Dogo alikufa kwa ajari ya kukanyagwa na gari, ndugu wamepita kuzunguka wamegundua ni Kaka kamuuza mdogo, jamaa kuulizwa kasema ni kweli na pia ali ahidiwa kupewa cheo, kutoka udereva na kuwa kwenye uongozi wa kampuni.
 
Mtu katuma video kuomba msaada wanalaumu. Sasa hii taarifa ingefika vipi? Video itasaidia hata waokoaji wajue kazi iliopo inahitaji vifaa gani.
watu wa ukimani wao lawama tu. wao ikiwa A ni A hawana B wala C
 
Kafara zinatolewaaa.

Huku mtaani kwetu, kuna jamaa ni dereva wa Hizo gari, kamuuza mdogo wake kwa hiyo kampuni.

Dogo alikufa kwa ajari ya kukanyagwa na gari, ndugu wamepita kuzunguka wamegundua ni Kaka kamuuza mdogo, jamaa kuulizwa kasema ni kweli na pia ali ahidiwa kupewa cheo, kutoka udereva na kuwa kwenye uongozi wa kampuni.
Duu kwa mentality hizi wacha waafrika tudharauliwe.
 
Dunia ya leo habari bila picha inakuwaga shida tusimlaumu mleta mchukua video.
 
Nilipokuwa nafanya kazi kanda hiyo nilikuwa nawaita wazee wa ajali.
 
Back
Top Bottom