real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,299
VIDEO: Watu 12 wafariki baada ya gari kugongana na lori huko [HASHTAG]#Garissa[/HASHTAG], [HASHTAG]#Kenya[/HASHTAG]. Hii ni katika barabara ya Garissa mpaka [HASHTAG]#Nairobi[/HASHTAG]. Mgomo wa wauguzi katika kaunti ya Garissa umefanya zoezi la kusaidia wagonjwa kuwa gumu sana. ONYO LA PICHA KALI KABLA HUJATAZAMA VIDEO.