Ajali mbaya !

Ajali mbaya !

sirjimmy

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
14
Reaction score
9
Ndugu zanguni nilipata ajali mbaya ya mkono yapata miezi 4 iliyopita nikiwa marekani kazini, mkono ulivunjika mara 4 . Nikafanyiwa operation under insurance company, pia wananilipa pesa ya kuwa off to work. Swali langu kwa wale wanaojua laws za marekani mnisaidie ukiacha mambo hayo ya matibabu je ni haki gani za msingi pia wanatakiwa wanilipe hawa insurance company? Baada ya mwaka ntafanyiwa evaulation ya mkono na kujua lump sum ya kunilipa kama lakini je na hili kovu la mkononi linahesabiwa vp?
 
Hapa ni Jf tuna kila aina ya mtu!
Na pole sana Kamanda!
 
Sheria iko wazi kuwa lazima uwe redressed. Nakushauri uende kwa Lawyers hasa wa insurance and safety at work. Bahati nzuri Marekani ina wanasheria wengi kuliko nchi yoyote duniani. Hata hivyo uangalie mkataba wako wa kazi. Ila nijuavyo utalipwa haki zako maana umepata ajali kazini. Uangalie na uwezekano wa kuwapo uzembe katika mahali ulipokuwa ukifanyia kazi mfano if they have all precautionary measures in place. If they don't have them, they will automatically want to redress you and avoid embarrassment and possibly other consequences thereof.
 
Back
Top Bottom