Ajali: Mwendokasi lagonga bodaboda na kumuua Tip Top

Badilisha kauli,bodaboda imegonga gari la mwendokasi
 
Haya magari yatakuwa na shida mbona yanagonga kwenye kivuko Cha waendao kwa miguu??​
 
Apumzike kwa amani ndugu yetu bodaboda

Ukute yeye ndio baba na tegemeo la familia. Pole sana kwa wafiwa.
 
ila dah boda boda hatari sana, jana nilikuwa maeneo ya mbezi mwisho nimemuona dada mmoja kaumia sana kwenye magoti mpaka huruma ila jaman bodaboda ni noma sana unaweza ukapelekwa ahera bila kupenda
 
Sawa suka pole sana andaa faini ya 60 elfu kesi imeisha hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…