Wananchi walishajua mbinu,unasifia kwanza serikali ndio unaeleza shida yako.Yangu Uhuru barabara ya Dar es Salaam kwenda Morogoro ni ya lami na wakati huo haikuwepo serikali ya awamu ya tano chini ya Mhe. Dr. John Pombe Magufuli, hata hivyo ilikuwa ikiongoza kwa ajali.
Tuambie nini lengo la Post yako.
Ita tu stepYes sijui niitumie lugha gani nieleweke ila ni kama "kampando" au step kama ilivyo step za kwenye ngazi hasa unapohama kutoka lane moja kwenda nyingine unakuwa unashuka au unapanda ili upate hiyo lane husika
Yaah inatakiwa ukaze uskani ili isikuvute kwa maana ukipanda step gari linavutwa kwa nguvu kama umeshika kilegelege inakutoa kwenye njia, hasa ukiwa mwendo mkali inakuwa hatari zaidi.Unachosema ni kweli ukizipanda kama umeshika usukani kilegelege lazima ile kwako. Kwa madereva wageni wa kuendesha magari na wale wageni wa jiji la Dar wanakula mieleka sana.
So far so good brave man, kwa mtindo huo waliotangulia mbele ya haki watazidi kukaza kamba na Israel kwa kuwapora haki yao.Wananchi walishajua mbinu,unasifia kwanza serikali ndio unaeleza shida yako.
ChaiYes sijui niitumie lugha gani nieleweke ila ni kama "kampando" au step kama ilivyo step za kwenye ngazi hasa unapohama kutoka lane moja kwenda nyingine unakuwa unashuka au unapanda ili upate hiyo lane husika
Ni kweli mkuu zile step ni ndefu mnoo namimi ni muhanga wa hili kuna siku nimeanguka na pikipiki nilikua nahama kutoka pembeni kuingia katikati sasa zile step ni ndefu mnoo yaani niliulamba chini sema mungu mkubwa kulikua hakuna gari inakuja na sikua speed sana hiki ndo kiliniokoaNawasalimu
Serikali ya Awamu ya Tano Chini ya Mh, Dr. John Pombe Joseph Magufulu inajitahidi sana kujenga miundombinu nchini ikiwemo barabara. Dhumuni la kuandika uzi huu ni kuelezea ajali ambazo nimekuwa nikizishuhudia katika barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam hususan kuanzia Kimara Mwisho kuelekea Kibamba n.k.
Mkandarasi amejenga ile barabara kwa ustadi lkn kuna step ambayo imeachwa kwa muda mrefu sana ambapo imekuwa ikisababisha ajali nyingi sana. Nimeshuhudia magari, bajaji na bodaboda zikiserereka na kuanguka ama kuacha njia pale zinapojaribu kupanda step hiyo. Mkandarasi huyu aimize namna ya kuzuia magari kupanda step huku kazi ikiwa inaendelea ili kupunguza ajali nyingi zaidi.
Wasalaam!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mtumiaji Wa Barabara ya Morogoro
#TujilindeNaCovid19