Tayari tenda zimeshatangazwa na upembuzi yakinifu unaendelea.. Most likely mwakani ujenzi unaanzaMara nyingi nasafiri kwa njia hii na hukutana ajali si chini ya mbili.
Athari za ajali zinafahamika; ulemavu, kupoteza maisha na mali.
Njia hii imekuwa ndogo na msongamano ni mkubwa.
Kama serikali iliweza kutoa ruzuku ya bil 100 kila mwezi, kwanini isitenge bil 30 tu kila mwezi kwa njia hii
Kwa kipande kipi?Tayari tenda zimeshatangazwa na upembuzi yakinifu unaendelea.. Most likely mwakani ujenzi unaanza
Maili moja Mlandizi ChalinzeKwa kipande kipi?
Pana ajali nyingi sana hapo hasa maroli na gari ndogo..Maili moja Mlandizi Chalinze
Hawa watu ilibidi wafike Moro. Ajali ni nyingi na muda unapotea sana njiani.Maili moja Mlandizi Chalinze
YeahPana ajali nyingi sana hapo hasa maroli na gari ndogo..
Iko siku nimefika Maseyu saa kumi jioni Msamvu roudabout saa saba za usiku.☹Hawa watu ilibidi wafike Moro. Ajali ni nyingi na muda unapotea sana njiani.
Tatizo bajetiHawa watu ilibidi wafike Moro. Ajali ni nyingi na muda unapotea sana njiani.
Treni uwekezaji wake utatumia muda mrefu na hauwezi kuwa mbadala kwa njia mchepuko. Mtu anaenda Kilosa vijijini, Ludewa nk.Treni ya mwendo kasi ilikua ni suluhisho kubwa kati ya dar Morogoro hadi Dodoma
Pamoja na ubovu na kiwango duni cha barabara zetu, ili nalo ni la msingi.Naona kuhusu services za magari ni muhimu ingawa wengi wenye magari wanaunga unga tu maisha ana gari ila kulimaintain hawezi
Treni uwekezaji wake utatumia muda mrefu na hauwezi kuwa mbadala kwa njia mchepuko. Mtu anaenda Kilosa vijijini, Ludewa nk.
Barabara ni muhum mno, tuikabe serikali. Ajali ni nyingi na mara zote makosa huwa eti ya madereva na sio miundombinu
Umesahau tuko awamu ya 6 mkuuMara nyingi nasafiri kwa njia hii na hukutana ajali si chini ya mbili.
Athari za ajali zinafahamika; ulemavu, kupoteza maisha na mali.
Njia hii imekuwa ndogo na msongamano ni mkubwa.
Kama serikali iliweza kutoa ruzuku ya bil 100 kila mwezi, kwanini isitenge bil 30 tu kila mwezi kwa njia hii
Vinyamkera pia ni vingi njia hiyoHapo panataka Dual carriageway.